Rais Mugabe mara tu baada ya kurudi kutoka Addis Ababa, ametoa KEMEO kubwa kwa viongozi wa nchi za Kiafrika waliokubali Morroco kukubaliwa kujiunga na Umoja wa nchi za Kiafrika.
Akizungumza na...
Mhubiri mmoja nchini Afrika Kusini amekuwa akiwapa waumia sumu ya kuua panya kama moja ya njia ya kujaribu imani yao.
Light Monyeki, ambaye anaongoza kanisa la Grace Living Hope Ministries mjini...
Jeff session atapitishwa Leo kuwa jaji Mkuu wa USA .Kwa kweli democratic wangekuwa na discipline Na kuacha uwendawazimu wangeweza kumstopisha.Jeff session is a racist na anti immigrant and pro...
Mara baada ya rais wa USA Donald Trump siku ya ijumaa kuwawekea vikwazo 13 kwa makampuni ya Iran kwa tukio la Iran kufanya jaribio la kurusha ballistic missile. siku ya jumamosi Iran walimjibu...
cocaine ina hela nyingi sana na DRC ina kila hali ya kufaa kusitawisha Coca. Ni nchi ya kitropical yenye mvua nyingi, ina misitu mikubwa, imejaa rushwa na haina ulinzi wa kutosha/kueleweka...
Kama kinachodhaniwa kama anguko la thamani ya dola ya Marekani, nchi mbili kubwa ambazo ni Urusi na Uchina zimeingia kwa mkataba au makubaliano na kuitenga sarafu ya Marekani...
URUSI: Mahakama yamkuta na hatia ya Rushwa Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Alexei Navalny. Hatoruhusiwa kugombea Urais wa Taifa hilo.
- Hii mara ya pili kwa kiongozi huyo kushtakiwa baada ya...
kiongozi wa juu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei ameyapuuzia tahadhari alizotoa Trump kwa Iran ya kuacha kujaribisha makombora,Khamenei amesema rais wa US amedhihirisha wazi uso kamili wa marekani...
Jumamosi iliyopita, maelfu ya watu waliandamana kule Tel Aviv Israel wakitaka serikali ihalalishe bangi.
waziri wa ulinzi wa jamii ndugu Gilad Erdan alhamisi alisema kwamba yeye binafsi anaunga...
Idara ya forodha ya Marekani imeyaambia mashirika ya ndege kwamba waruhusu abiria kupanda ndege kuelekea Marekani abiria ambao walinyimwa ruhusa baada ya Rais Trump kutoa amri kwamba watu kutoka...
Milipuko imesikika katika mji Mkuu wa Mogadishu nchini Somalia usiku wa kuamkia leo wabunge wanapotarajiwa kukutana kumchagua rais mpya.
Kumekuwa na taarifa kuwa mizinga imelipuliwa karibu na...
Al-Shabab fighters stormed a hotel in the capital of the semi-autonomous Puntland region killing four guards, while two of the attackers also died, a senior Somali official said.
The attack...
Wana Jamvi vita dhidi ya UFISADI hata madawa ya kulevya haviko Tanzania peke yake.
Rais Kagame wa Rwanda amewafukuza kazi maafisa wake 200 wa ngazi mbalimbali toka katika jeshi la Polisi.
Hatua...
Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyau ameyakaribisha kwa mikono 2 vikwazo alizowekewa Iran na Rais wa US Donald Trump huku akizitaka nchi zingine ziige mfano wa US kwa kuwawekea vikwazo Iran...
Donald Trump has been barred from making a speech in Westminster Hall on his state visit by Commons Speaker John Bercow.
In an extraordinary broadside from the Speaker's chair, he said Mr Trump's...
Zifuatazo ni nchi 16 ambazo zimepiga marufuku Raia wa Israel kuingia kwenye nchi hizo tangu miaka ya 1990 .
Algeria
Bangladesh
Brunei
Iran
Iraq
Kuwait
Lebanon
Libya
Malaysia
Oman
Pakistan.
Saudi...
Malkia Elizabeti ambaye ni Mkuu wa nchi na pia Amiri Jeshi Mkuu wa nchi ya Uingereza na makoloni yake leo hii ametimiza miaka 65 ya Utawala, hii ni record hakuna aliyeifikia mpaka leo hii, wakati...
Takriban watu 20 wamefariki baada ya mlipuko uliotokea nje ya Mahakama kuu mjini Kabul. Zaidi ya watu 35 wamejaruhiwa na wamekimbizwa hospitali kwa matibabu.
Hii ni moja ya matukio ya hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.