osama BLD
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 561
- 294
Jamani wananchi kwa siku za nyumba walikuwa wanapenda nyumba za nhc lakin kwa sasa bora kupanga nyumba ya mtu binafsi kuliko nhc..sababu nhc wamekuwa na tabia mtu akishindwa mwezi moja tuu wanakupiga notice 30days usipolipa notice ya dalali siku14 sikisha wanakuja na kukutupia Mali zako njee na faini na garama zingine jee hii ni sawa???? So what are we enjoying as citizen in gvt premises??? Mi nimekuwa mpangaji 10 yrs.. nimekosa just kodi mwezi moja imekuwa shida
Pili!!
Nyumba za shirika nyingi ni za mda mrefu zinafuja ukiwaomba kurekebisha hutawai waona...na ukirekebisha ni garama zako mi nilirekebisha nyumba kwa garama ya 17million sikusilizwa je ni sawa. .
Wanannchi wengine mulioko kwenye hizo nyumba za shirika mnalionaje??? Mcheche tunaomba uliangalie