Kimenukaa Urusi vs Marekani

ustadhijuma

JF-Expert Member
Jul 20, 2015
3,021
1,977
Duh aisee RUSSIA imepeleka Warship Mediterranean ocean kuzikabiri fighting jets za USA zinazorusha makombora sasa hivi Syria kutokea kwenye Destroyers ambazo zipo Pia mediterranean ocean.Hii ni hatar kwa usalama wa dunia.Wale watu wa mungu msali tu sasa huu ndo muda

Ustadhi

Kwanza hakuna ndege iliyorusha hayo mabomu
 
Tomahawk Cruise misiles, zinarushwa moja kwa moja kutoka kwenye meli za kivita, lakini Kule Syria si kuna mfumo kabambe wa ulinzi WA anga S-300 na S-400 haikufanya kazi,!!!?

Ile mifumo ni kwa sisi tu tunabishana hapa ila kiukweli hakuna inachoweza fanya
Juzi juzi tu Israel kaingia na ndege zake pale
Putin akaanza piga kelele

Leo kapigwa na hiyo mifumo yake anaanza leta bit za kupeleka aircraft carrier Med Sea
 
Duh aisee RUSSIA imepeleka Warship Mediterranean ocean kuzikabiri fighting jets za USA zinazorusha makombora sasa hivi Syria kutokea kwenye Destroyers ambazo zipo Pia mediterranean ocean.Hii ni hatar kwa usalama wa dunia.Wale watu wa mungu msali tu sasa huu ndo muda
Hizi taarifa mnazitoa wapi?mbona Aljazeera,cnn hawajaripoti?
 
Tomahawk Cruise misiles, zinarushwa moja kwa moja kutoka kwenye meli za kivita, lakini Kule Syria si kuna mfumo kabambe wa ulinzi WA anga S-300 na S-400 haikufanya kazi,!!!?
According to BBC hyo mifumo cha kushangaza haikufua dafu
 
Tomahawk Cruise misiles, zinarushwa moja kwa moja kutoka kwenye meli za kivita, lakini Kule Syria si kuna mfumo kabambe wa ulinzi WA anga S-300 na S-400 haikufanya kazi,!!!?
Haijawekwa hiyo mitambo kule Syria.
 
Ile mifumo ni kwa sisi tu tunabishana hapa ila kiukweli hakuna inachoweza fanya
Juzi juzi tu Israel kaingia na ndege zake pale
Putin akaanza piga kelele

Leo kapigwa na hiyo mifumo yake anaanza leta bit za kupeleka aircraft carrier Med Sea
Bwana mzee porojo za ooh sijui s300, s400 kwamba ni corner stone ni mbwembwe tu. Hazijawahi kufanya kazi in real time...
Majuzi baada ya ya Mossad kufanya yake, Syria walifyatua kombora lao kwenye fighter jets za IDF, na kombora hilo la SAM lilishushwa na Arrow head defense system,na Israel wakatoa onyo
"
Israel Warns It Will Destroy Syria's Air Defenses "Without Thinking Twice" -http://www.thedrive.com/the-war-zone/8444/israel-warns-it-will-destroy-syrias-air-defenses-without-thinking-twice
kumbuka Syrian Air defense ni pamoja na Russian S300, & S400
 
Back
Top Bottom