International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kamati maalumu katika Bunge la Senet la Texas imeidhinisha mswada ambao utatoza faini kubwa miji inayowapa hifadhi wahamiaji na kukataa kuwakabidhi kwa maafisa wa usalama ili wasafirishwe. Mswada...
1 Reactions
2 Replies
987 Views
Maraisi wengi katika nchi za Afrika,ni wababe,hawataki kufuata utawala wa sheria. Mfano. Yahya Jameh wa Gambia alivyotaka kutekeleza alichokitaka! Tumeona Mahakama ya Marekani ikisimamia haki ya...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Utawala nchini Sudan una mpango wa kubomoa makanisa 25 kwenye mji mkuu Khartoum, kwa mujibu wa mtandao wa Radio moja iliyo nchini uholanzi ya Tamazuj Makanisa hayo yatabomolewa kwa madai kuwa...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Huenda Rais D. Trump akawa rais wa kwanza wa marekani kufunguliwa mashitaka dhidi ya maamuzi yake au amri yake ya kwanza akiwa rais, amri hiyo ilitolewa kipindi kifupi baada ya kuapishwa kuwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Trump anatekeleza kile ambacho Barack Obama alikianzisha, lkn Dunia nzima inamuandama D.Trump, na kumuacha miguu mirefu akila bata caribbean! Donald Trump hakuitengeneza orodha ya hizo nchi 7...
0 Reactions
0 Replies
897 Views
Katika Siku ya kumbukumbu ya mauaji ya Wayahudi milioni sita wiki iliyopita yailiyofanywa na Utawala wa KINAZI miaka 60 iliyopita, Serikali ya Donald Trump inalaumiwa na Wayahudi kwa Kutotaja...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Sasa Trump analalamika Iran ana dominate Iraq ,wakati wao "Republicans" ndio wamesababisha chaos Iraq na wameshindwa kuyasuluhisha miaka yote. Iran&Russia saizi wana dominate syria na saizi Iran...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
North Korea faces an ‘overwhelming’ response if it uses nuclear weapons, U.S. defence secretary warns Facebook | Twitter | Google+ | Email Robert Burns, The Associated Press Friday, Feb. 3, 2017...
0 Reactions
6 Replies
994 Views
Bunge la Iraq limejibu hatua ya serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuwazuia Waislamu kuingia nchini humo kwa kupasisha sharia inayowapiga marufuku Wamarekani kuingia nchini Iraq. Ripoti...
5 Reactions
67 Replies
7K Views
Mwanamke mmoja wa miaka 23 kutoka nchini Afghanistan ameielezea BBC kwamba mumewe alimfunga kamba na kumkata masikio yote mawili katika mzozo wa kinyumbani katika mkoa wa kaskazini wa Balkh...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Such is the world we live in. Saudi Arabia has been banning muslim immigrants all along yet no one ever dared castigate them. Leo iweje Trump kawagusa dunia nzima imelipuka? I say.....go on...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
umoja wa ulaya wanakutana huko malta kujadili suruhu ya wimbi la wahamiaji kuingia kwenye nchi zao, na ikumbukwe kwa muda mrefu tu wamekuwa wakisemezana kuhusu suala hilo lakin bado hawajapata...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Trump ameanza na maadui wengi ila atamaliza na wafwasi wengi
0 Reactions
0 Replies
753 Views
Mwakilishi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) hapa Tehran amesema kuwa njia pekee ya kukabiliana na utawala wa Kizayuni ni kuendeleza muqawama na kwamba ishara ya wazi zaidi...
0 Reactions
1 Replies
867 Views
UINGEREZA- Msichana mwenye umri wa miaka 16 ameishtaki shule yake kwa kumkataza kuvaa sare za wavulana Msichana huyo ambaye yuko katika harakati za kugeuza maumbile yake ili awe Mwanamume...
0 Reactions
0 Replies
749 Views
Siyo bure, huyu Donald Trump kuna jambo kubwa sana liko nyuma ya pazia ambalo hatulifahamu, sasa Jimbo kubwa na tajiri kabisa klk yote USA limeanza mchakato ya kujitenga na USA, sasa hivi...
4 Reactions
78 Replies
7K Views
Aliyekuwa mfungwa wa kisiasa nchini Gambia Ndg.Amadou Sanneh, mwenye umri wa miaka 72 ameteuliwa kuwa Waziri wa fedha, ikiwa ni siku 3 tu baada ya kuachiliwa huru na Rais Adama Barrow. Amadou...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Qaddafi was not killed for humanitarian purposes but for the oil and money. His ideas of an African currency were his major undoing. The recent Hillary Clinton email leaks have opened a can worms...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Rais Duterte amuonya Rais Obama kutohoji kuhusu mauaji yanayotekelezwa na Serikali dhidi ya vigogo wa Madawa ya Kulevya Amesema kuwa Rais Obama lazima awe na heshima na sio kumuuliza maswali bila...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Waziri wa ulinzi nchini Marekani James Mattis amesema kuwa Korea Kaskazini itakabiliwa vikali iwapo itafanya utumizi wowote wa silaha za kinyuklia . Bw Mattis yuko nchini Korea Kusini ambapo...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom