International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Makubaliano baina ya wanasheria wa chama cha Republican na Democrat wanamtaka Rais Donald Trump awawekee vikwazo Venezuela haraka iwezekanavyo kutokana na ukiukwaji wa haki za binaadamu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wahudumu wa afya nchini Rwanda wameonywa kutokuingia tena kazini na simu za mkononi kuanzia tarehe mosi mwezi Machi. Waziri wa Afya Dkt Diane Gashumba amesema kuwa hatua hiyo inalenga kuinua...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Gazeti moja la Israel limemnukuu raisi Donald Trump wa Marekani akisema kuwa yeye anaamini kwamba ujenzi wa Nyumba za Walowezi settlements)unaofanywa na Walowezi wa Kiisrael katika ardhi za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa akali Wapalestina wawili wameuawa shahidi huku wengine zaidi ya watano wakijeruhiwa baada ya ndege ya kijeshi ya utawala wa Kizayuni wa Israel kutekeleza hujuma ya anga katika mji wa Rafah...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Conway clashes with CNN's Jake Tapper on air By Aidan Quigley 02/07/17 04:41 PM EST Updated 02/07/17 05:47 PM EST Share on Facebook Share on Twitter Kellyanne Conway, a top aide to President...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Mashambulizi ya anga yaliyofanywa na Urusi yamewaua kwa bahati mbaya wanajeshi 3 wa Uturuki na kuwajeruhi wengine 11 kaskazini mwa Syria,Waziri wa ulinzi wa Urusi amethibitisha. Ndege ya kivita...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Serikali mpya nchini Ghana inayatafuta magari 200 yaliyokuwa yakitumiwa na afisi ya rais ambayo yanadaiwa kutoweka, msemaji wa rais amesema. Chama tawala kilihesabu magari hayo mwezi mmoja kabla...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Rais wa zamani wa Tunisia, Zine el Abidine Ben Ali afungwa miaka 10 jela baada ya Mahakama kumpata na hatia ya kula rushwa. Kiongozi huyo aliyekibilia uhamishoni nchini Saudi Arabia baada ya...
0 Reactions
0 Replies
933 Views
Mwaka 2015 mwanaharakati na mpinzani wa utawala wa Putin kwa jina la Vladimir Kara-Murza (35yrs) alipata matatizo ya viungo vyake kufeli na kwa bahati nzuri aliweza kupona na kuishi baada ya kuwa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Picha za satellite zimeonyesha siku ya jana Iran wamefanya jaribio la kurusha makombora kwa mujibu wa maofisa wa US Siku ya jana jumatano Iran walirusha kombora la masafa mafupi ambayo imekwenda...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Mahakama ya Rufaa nchini Marekani imekataa kuirudisha tena marufuku iliyowekwa na Rais Donald Trump ya wasafiri kutoka nchi saba za kiislamu na Wakimbizi wote kuingia nchini humo. Jopo la Majaji...
1 Reactions
0 Replies
959 Views
Baada ya muendelezo wa kauli na Matendo yanayoashiria kumpinga bwana Trump. Kikosi cha ulinzi cha viongozi marekani ama secret service kimeamua kumuwekea ulinzi ambao utamlinda rais na kuvunjika...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Kushindwa kwa rais Buhari wa Nigeria kubaini muda anaotaka kuongezewa ili kuendelea na likizo yake ya matibabu mjini London inawatia wasiwasi raia wa taifa hilo. Kumekuwa na uvumi kuhusu afya ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Viongozi wa chama cha Democratic nchini Marekani wamemshutumu Rais wa Marekani Donald Trump kuandika kwenye Twitter akishutumu maduka ya jumla ya Nordstrom kwa kuacha kuuza nguo za kampuni...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wiki tatu zilizopita alikuwa raisi wa USA huyu, Obama sasa hivi amekimbilia Visiwa vya Karibiani huko, yuko na Bilionea Richard Branson ambaye ndiye mmiliki wa hicho Kisiwa Obama alichokimbialia...
1 Reactions
67 Replies
8K Views
Mjadala mkali unaendelea sasa hivi nchini Afrika ya Kusini; Bunge la South Africa linapiga kura ya kutokuwa na imani na rais Jocob Zuma. Waweza fuatilia kupitia SABC NEWS; SUPER SPORT CHANEL 404.
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Machete attacker shouting 'Allahu akbar' shot by soldier near Le Louvre Police launch terror probe after machete attack on soldiers at Louvre Machete-wielding 'terrorist' shot near Louvre...
3 Reactions
166 Replies
16K Views
Trump awambia Iran wanacheza na moto, na yeye hatakuwa mwema sana kama alivyokuwa Obama. Iran kupitia waziri wa ulinzi Javaz Zarif yajibu, Pasipo kuendeshwa na Vitisho vya Mmarekani haiwezi...
3 Reactions
147 Replies
16K Views
President Trump's Executive Order on travel ban has been blocked by a Federal Judge as unconstitutional and unlawful. Judge Robart’s decision, effective immediately, effective now, puts a halt to...
1 Reactions
105 Replies
9K Views
Back
Top Bottom