Serikali Qatar inatumia Dola milioni 500 kwa wiki kwa ajili ya miradi ya matayarisho kwa ajili ya kombe la dunia itakayofanyika huko 2022. Hii ni gharama pamoja Kujenga viwanja vipya, barabara...
Financial Times ni moja kati ya Magazeti yanayoheshimiwa zaidi Duniani kwa habari zake za kiuchunguzi na zisizofungamana na upande wowote limemuanika Raisi wa 44 wa USA, Barack Obama jinsi...
At least 188,000 people were asked to evacuate their homes in Northern California after authorities warned an emergency spillway in the country’s tallest dam was in danger of failing Sunday and...
Maelfu ya waandamanaji kwa mara nyingine wameingia barabarani nchini Romania, huku wakitaka serikali ijiuzulu.
Idadi kubwa ya waandamanaji iko katika uwanja wa ushindi maarufu kama Victory Square...
Rais wa Peru Pedro Pablo Kuczynski ametoa wito kwa rais wa Marekani Donald Trump kumsalimisha rais wa zamani wa Peru Alejandro Toledo ambaye anatakiwa kujibu mashtaka nchini Peru.
Bw Toledo...
Wabunge wa Rwanda jana wamepitisha sheria kukichukulia Kiswahili kuwa lugha rasmi sambamba na Kiingereza, Kifaransa na Kinyarwanda.
Hatua hiyo inamaanisha kwamba lugha ya Kiswahili itatumika...
Donald Trump anasema kuwa huenda akabadilisha marufuku yake dhidi ya wahamiaji na agizo jingine la rais litakalopiga marufuku raia wa mataifa kadhaa kutoingia Marekani baada ya jaribio lake la...
Mohamed Abdullahi Farmajo ashinda urais Somalia
Waziri mkuu wa zamani wa Somalia Mohamed Abdullahi Farmajo ndiye rais mpya wa Somalia baada ya aliyekuwa rais Hassan Sheikh Mohamud kukubali...
Je,ni kweli niendelee kumuuunga mkono kwa hayo ayafanyayo?
Je,ni kweli ni chaguo la MUNGU?
Je,ndiye hasa niliye mungoja?
Je,ndiye mtu sahihi kwa mama taifa?
Je,ni ipi hukumu yangu itayonipata...
Lieberman: All Palestinians should leave Israel. Sun Feb 12, 2017 6:31AM
Waziri Mashuhuri Nchini Israel Bwana Lieberman Amesema Wapalestina wote waishio kwenye Majiji na Miji iliyo chini ya...
Leo Ijumaa tarehe 22 Bahman, sawa na tarehe 10 Februari, wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wanaadhimisha sherehe za miaka 38 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchi hapa.
Katika sherehe...
Leo hii Mzungu, Mjapani, au hata Mchina na Mkorea ukimpa nafasi ya kuongoza Tanzania hataruhusu demokrasia!
Jambo la kwanza kabisa atakalo lifanya ni kusitisha kila kitu na kuongoza nchi kwa...
Isis kwisha hakuna tena matukio ya Isis, Libya maendeleo mazuri tu, Somalia wamefanya Uchaguzi kwa mara ya kwanza na kupata Raisi mpya kila mtu anafurahia maendeleo mazuri ya Somalia, Boko Haramu...
Breaking News!
A federal appeals court refused Thursday to reinstate President Donald Trump's ban on travelers from seven predominantly Muslim nations, dealing another legal setback to the new...
Hiyo inafuatia ukame uliokithiri nchini humo kwa zaidi ya nusu mwaka, huku majimbo 23 kati ya 47 ya nchi hiyo kukumbwa na baa la njaa.
Kumeshuhudiwa uhaba mkubwa wa chakula hasa katika maeneo ya...
Trump furious after court upholds block on travel ban
By Ariane de Vogue and Laura Jarrett, CNN
Updated 0834 GMT (1634 HKT) February 10, 2017
[paste:font size="5"]
More than one...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.