Jee ununuzi wa kitu kwa kutumia mitandao(ONLINE) ni wizi au?

Travis Walker

JF-Expert Member
Apr 10, 2017
323
333
blob.png

Kununua kitu kwa njia ya online kupitia mitandao ni rahisi sana na ni nafuu mno lakini wengi kati yetu tuna wasi
wasi na woga mkubwa wa kutapeliwa

TUPIA SUALI LINALOKUSUMBUA HAPA KWA MANUNUZI YA ONLINE LIJIBIWE
 
View attachment 494400
Kununua kitu kwa njia ya online kupitia mitandao ni rahisi sana na ni nafuu mno lakini wengi kati yetu tuna wasi
wasi na woga mkubwa wa kutapeliwa

TUPIA SUALI LINALOKUSUMBUA HAPA KWA MANUNUZI YA ONLINE LIJIBIWE
Tatizo langu lipo kwenye PayPal pale ninaporudishiwa pesa zangu na seller huwa haziingi kwenye account yang tena nn tatizo hapa
 
Tatizo langu lipo kwenye PayPal pale ninaporudishiwa pesa zangu na seller huwa haziingi kwenye account yang tena nn tatizo hapa
Ila taarifa za transaction unapata lakini tu kwenye akaunti yako ndio hazirudii
 
Tatizo langu lipo kwenye PayPal pale ninaporudishiwa pesa zangu na seller huwa haziingi kwenye account yang tena nn tatizo hapa
Zipo sababu kama tatu zinaweza kusababisha hilo
1.Huenda seller ametuma katika E-mai isiyo sahihi, unaweza kucontact na huyo seller ili kuhakikisha E-mail yako.
2.Pia inawezekana E-mail yako au Akaunti ya benki haijawa confirmed,ingia kwenye setting ya paypal halafu confirm E-mail and account bank
3.Au pia inaweza kuwa seller ni hacker, jee katika seller inakuwa hivo hivo.
Ukihisi kama E-mail ya seller ni ya kuhack basi itume katika E-mail hii spoof@paypal.com

Hakikisha ku confirm kama hujaconfirm na paypal haiwezi kuja hela katika akaunti yako
 
Back
Top Bottom