North Korea accidentally lets world access its internet and it only has 28 websites

Duh! Hatari. Hapo kuna ma-IT directors and ma-admin wa kutosha wameshakula vitanzi. Kutumikia tawala za aina hii ni kazi sana. Ni heri ukafuge nguruwe vijijini huko utakuwa salama zaidi.
 
Pia watakuweka kizuizini au hukumu ya kifo kutokuwa mzalendo kuacha kulitumikia taifa!
 
Dah! Kweli utawala dhalimu! Ukifanya kazi kosa; ukiacha kosa! That's real meaning of dictatorship.
 
Hapo kuna mawili; Inawezekana kwamba wenyewe wameruhusu AU wazee wazima wameHack wakaUnblock hzo sites.

Rejea Marekani alipozima internet yao baada ya Nkorea kuwaHack Sony.
 
Nakubaliana na wewe; yote yanawezekana. Tatizo mnyoa kiduku ataelewa? Yeye tafsiri yake ya haraka ni "usaliti"; hadi fahamu zije kumrudia tayari wahanga walishageuka "vinyesi" vya nguruwe siku nyingi sana. Walioweka mfumo wa utawala wa sheria walikuwa na IQ za hali ya juu sana - haki ya mtu kusikilizwa; tena kwa haki bila vitisho, kabla ya kuadhibiwa. Na adhabu iwe ya haki pia. Haya mambo kwa Kim hayapo; nawaonea huruma sana wananchi na watendaji. Watu wananyongwa ovyo ovyo sana.
 
Hapo kuna watu watakatwa vichwa kwa makombora ya ndege kumbe saa nyingine mhusika yupo mbaaaaali anakunywa kahawa.
 
Ndio maana binadamu yeyote mwenye ubinadamu ataunga mkono wananchi wa NK waondolewe "kikombe kile". Ni mjinga tu atakayejaribu kushawishi eti NK wana maisha bora sawa au zaidi ya wenzao wa South.
 
Ila siku ya ukombozi haipo mbali
 
Hapo inabidi kuihama nchi kimya kimya. Tatizo hamna pakutokea maana mipaka ya nchi hiyo huwezi toka au kuingia kihivyo.
 
Mtaendelea kudanganywa kila siku
kwasababu hamtaki kuchanganya na akili zenu
kwa mambo yakuambiwa
 
Nakubaliana na wewe; yote yanawezekana. Tatizo mnyoa kiduku ataelewa? Yeye tafsiri yake ya haraka ni "usaliti"; hadi fahamu zije kumrudia tayari wahanga walishageuka "vinyesi" vya nguruwe siku nyingi sana. Walioweka mfumo wa utawala wa sheria walikuwa na IQ za hali ya juu sana - haki ya mtu kusikilizwa; tena kwa haki bila vitisho, kabla ya kuadhibiwa. Na adhabu iwe ya haki pia. Haya mambo kwa Kim hayapo; nawaonea huruma sana wananchi na watendaji. Watu wananyongwa ovyo ovyo sana.
Wewe nani alikuambia watu wana nyongwa hovyo hovyo huko NKorea?
Nchi hiyo iko vizuri tu na watu wa huko wako comfortable sana. Wewe unasoma proganda za western tu zitakupoteza.
 
Teh....teh...Magu kachukue maujuzi huko kwani wale malaika wa kuifungia mitandao Tz wamegoma kuja
 
Duh! Hatari. Hapo kuna ma-IT directors and ma-admin wa kutosha wameshakula vitanzi. Kutumikia tawala za aina hii ni kazi sana. Ni heri ukafuge nguruwe vijijini huko utakuwa salama zaidi.
Hatari sana mkuu
 
Back
Top Bottom