Amani iwe nanyi wakuu,
Naomba kuuliza hii nchi ya Urusi iko pande zipi za dunia, je iko Ulaya au iko Asia?
Naomba kujuzwa
Na je Warusi ni wazungu au ni watu gani?
Je au ni Waarabu? Lakini kama...
Kuna taarifa leo kuwa Binyamin Netanyahu au Bibi ameshtakiwa na mwendesha mashtaka (DPP) pamoja na Mwanasheria Mkuu (Attorney General) wa serikali ya Israel kwa kosa la rushwa, ufisadi na matumizi...
Bado hali yamkini si shwari nchini Iran.
Kilichofanikiwa hadi hivi sasa ni kudhibitiwa kwa taarifa kuhusiana na maandamano hayo. Serikali imeamua kutandaza carpet na kuhakikisha kila...
Ukiifuatilia habari mbalimbali hasa za waUK kana kwamba hawawapendi warusi na wanaponda kila kitu Chao.
Kwenye EURO football tournaments waingereza na warusi walipokutana walipigana ngumi hadi...
The Queen put on a brave face last night after summoning sex scandal-hit Prince Andrew to Buckingham Palace to strip him of all royal duties.
Her Majesty’s extraordinary intervention came after...
Britain is braced for its first December general election since 1923 as all of the major parties battle for the right to take the lead on Brexit.
If Boris Johnson and the Tories win a majority at...
Mwanaharakati maarufu wa mashirika ya kiraia Almaas Elman ameuawa kwa kupigwa risasi Jumatano, Novemba 20, wakati alikuwa akijiandaa kusafri kwa ndege kwenda mji mkuu wa Kenya, Nairobi ambako...
Ugonjwa wa ukambi ama Surua umewaua takriban watoto 5000 katika taifa la Jamhuri ya KidemokrasIa ya Congo mwaka 2019, kulingana na mamlaka baada ya ugonjwa huo kusambaa hadi mikoa yote.
Takriban...
Profesa wa Chuo kikuu ambaye ameandika kitabu kuhusu usafirishaji wa madawa ya kulevya na jinsi uhalifu unavyopangwa ameshtakiwa na mamlaka za Marekani kwa kosa la uhujumu uchumi wa kiasi cha dola...
Wataalam wameonya hakuna chanjo za kutosha nchini humo.
Ugonjwa wa ukambi ama Surua umewaua takriban watoto 5000 katika taifa la Jamhuri ya KidemokrasIa ya Congo mwaka 2019, kulingana na mamlaka...
Huyu jamaa ni Myahudi ambaye amefanya utafiti kuhusu taifa la Israel kwa miaka mingi sana. Siku zote huwashinda wapinzani wake kwa hoja nzito ambazo amezifanyia utafiti wa kina. Anajiamini sana na...
Madaktari waliofukuzwa kazi nchini Zimbabwe wanaotaka kurudishiwa ajira zao ni lazima wafanye maombi upya.
Hili linakuja baada ya Serikali ya nchi hiyo kufungua tena kliniki ya akina mama ya...
Urusi anawaza mbele sana, kwa sasa ana Russia’s Nuclear Tsunami Apocalypse Torpedo is Named 'Poseidon'. Hii ni kwamba ikidondondoshwa Km kadhaa kutoka Pwani inapeleka kilio kikubwa sana kwenye...
Maelfu ya raia wa Georgia wamefanya maandamano makubwa mjini Tbilisi, mji mkuu wa nchi hiyo wakilaani kitendo cha kuonyeshwa filamu ya kuchochea ufuska na maingiliano ya kimwili ya watu wenye...
Watu ishirini na moja wameuawa, wengine wanne wamejeruhiwa na watoto kadhaa wametekwa nyara katika mashambulizi mawili ya ADF usiku wa Jumanne kuamkia Jumatano Novemba 20 katika mji wa Beni na...
JOHANNESBURG - Afrika Kusini.
Kumekuwa na wimbi la kesi za utekaji nyara nchini Afrika Kusini, na takwimu zinaonesha ongezeko kubwa katika miaka ya hivi karibuni.
Hapo awali, walengwa wakuu...
Jeshi la Burundi limepoteza askari zaidi ya 50 katika mapigano na watu wenye silaha yaliyotokea usiku wa Jumamosi kuamkia Jumapili katika Msitu wa Kibira, Wilayani Mabayi, Mkoani Cibitoke...
Jeshi la Mali limeshambuliwa na kundi la watu wanaoshukiwa kuwa magaidi, Kaskazini mwa nchi karibu na mpaka na Niger. Shambulio lilitokea Jumatatu, Novemba 18.
Inaonekana kuwa...