CHADEMA jifunzeni kutoka kwa Mchungaji Gwajima

13codes

Member
Dec 17, 2016
14
6
Habarin Wakuu?
Najua wengi wetu tunafuatilia matukio yanayoendelea hapa Nchini kama mfano hii drama ya madawa ya kulevya.CHADEMA jifunzeni kwa huyu mchungaji huwa ana mikakati mizuri sana ya kujilinda tena huwa anatumia mbinu za kisiasa.Acheni kulalamika sijui tunachafuliana majina oo sijui nini hiyo ndiyo siasa .
 
Back
Top Bottom