InahusuUpagani
Nawaalika wakatoliki kuwa kesho itakuwa Jumatano ya majivu naomba kila moja amtaarifu mwenzake ili aweze kuhudhuria misa hiyo takatifu.
Kwanini umetaja wakatoliki.na sio wakristo?Nawaalika wakatoliki kuwa kesho itakuwa Jumatano ya majivu naomba kila moja amtaarifu mwenzake ili aweze kuhudhuria misa hiyo takatifu.
Kazi unayo bila kuwataja wakatoliki siku yako haiendi vema. Hata ukifanyaje ndo dhehebu ambalo halina mgogoro wa kiuongoziKwa sababu sio wakristo wote wanafanya hayo wanayofanya wakatoliki. Hayo wanayofanya ni mapokeo yao kutoka vatican na sio kibiblia.