Mvutano wa RC na Pastor

ntugwa12

Member
Aug 7, 2016
85
34
Kama nchi tunaelekea wapi tunapokuwa na mijadala katika mitandao ya kijamii,huku tukishuhudia viongozi wa aina mbili tofauti wakivuana nguo? Je nan alaumiwe kati ya RC na mchungaji!
Kama episode vile
 
Pastor hana makosa kama kasema ukwel ila kama kasema uongo mbele ya jamii tena katika madhabahu ya kuabudia hafai kua Pastor

Swala na DAUD ALBERT BASHITE Ni swala zuri pia kuzungumziwa kwan ule ukwel utajulikana na uongo utajulikna tunaitaji vyet orgnal ya RC BASHITE

Ili mjadala ufungwe
 
Huyu mchungaji anazidi kuwapa watu wasiwasi kwa jinsi anavyopambana kujisafsha.Ningekuwa muumin wake ningemshauri atafute njia za kiroho zaid katika kupambana Kwa sababu znamsambatsha adui kwa wepesi,na kama huoni matokeo kwa kutumia njia za kiroho unahitaji kujitizama kuna ktu kitakuwa hakiko sawa kwa upande wako na utakimbilia kutafuta kasoro ndogondogo za adui ambazo akikupuuza tu anakushinda.
 
Issue ya cheti si kasoro ndogo,iwe kweli au si kweli...............kuna watu wamejiondoa kwenye payroll kisa VYETI
 
RC atuoneshe cheti cha form four hizo nyingine mbwembwe tu.

Kama nchi tunaelekea wapi tunapokuwa na mijadala katika mitandao ya kijamii,huku tukishuhudia viongozi wa aina mbili tofauti wakivuana nguo? Je nan alaumiwe kati ya RC na mchungaji!
Kama episode vile
 
Nafikiri haki tu itendeka,, aonyeshe vyeti vyake halisi, kama sivyo sheria ichukue mkondo wake.

But haina maana watu waogope kupambana na wauza ngada. Tunahitaji watu jasiri wakupambana na wauza ngada. Ila na wewe pia uwe safi usinyooshee watu vidole wakati wee mchafu. Uwe msafi kweli kweli.
 
Huyu mchungaji anazidi kuwapa watu wasiwasi kwa jinsi anavyopambana kujisafsha.Ningekuwa muumin wake ningemshauri atafute njia za kiroho zaid katika kupambana Kwa sababu znamsambatsha adui kwa wepesi,na kama huoni matokeo kwa kutumia njia za kiroho unahitaji kujitizama kuna ktu kitakuwa hakiko sawa kwa upande wako na utakimbilia kutafuta kasoro ndogondogo za adui ambazo akikupuuza tu anakushinda.
Mimi najiuliza tu. Anawezaje kufundisha tena somo la msamaha? Au anawezaje ile sala ambayo Yesu aliwafundisha wafuasi wake hasa pale wanapoomba "utusamehe kama nasi tunavyo wasamee waliotukosea.."?
 
Back
Top Bottom