Wakati inazalishwa ilikuwa halali kuuzwa na kunywewa. Wazalishaji wamepewa leseni, wamewekeza wameajiri na wamelipa kodi.
Hatujasikia sheria yoyote iliyopelekwa bungeni kubatilisha sheria iliyokuwa inatumika. Bidhaa nyingi zinafungwa kwenye plastiki kama chumvi, sukari, sabuni, maji, dawa, nguo n.k.
Tatizo ni pombe ndani ya plastiki au ni plastiki juu ya pombe maana plastiki katika bidhaa zingine hazivunji "sheria ya viroba".