Vipi sura ya hawa reporters wa ITV?

Manstone

JF-Expert Member
May 12, 2013
511
310
Habari wana jf?

katika kipindi cha taarifa ya habari ya ITV, kuna riporters mbalimbali wa mikoani ambao hukusanya taarifa sehemu hizo kama ilivyo ada.
Miongoni mwa riporters hao wengi wao huwa tunaona sura zao, lakini kuna hawa wawili kiukweli huwa natamani kuwaona sura zao lakini mpaka leo sijafanikiwa akiwa George Marato Kutoka Mara & Faruku Kharimu[/u] Kutoka Zanzibar.
Je nini haswa hawa riporters wanafanya wasionekana sura zao haswa huyu George Marato asionekane siku moja sura yake kama wenzao?
 
Farouk Kareem huwa anaonekana mara nyigine.Ila George Marato mara nyingi haonekani sura yake
 
Habari wana jf?

katika kipindi cha taarifa ya habari ya ITV, kuna riporters mbalimbali wa mikoani ambao hukusanya taarifa sehemu hizo kama ilivyo ada.
Miongoni mwa riporters hao wengi wao huwa tunaona sura zao, lakini kuna hawa wawili kiukweli huwa natamani kuwaona sura zao lakini mpaka leo sijafanikiwa akiwa George Marato Kutoka Mara & Faruku Kharimu[/u] Kutoka Zanzibar.
Je nini haswa hawa riporters wanafanya wasionekana sura zao haswa huyu George Marato asionekane siku moja sura yake kama wenzao?
Hua wanaonekana me nshawaona mara kibao
 
Back
Top Bottom