Naomba kujua umuhimu wa hizi kodi kwenye uagizaji wa magari..

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
53,097
53,477
Capture 2.PNG
Capture 3.PNG
Capture 1.PNG
 
Kuwa na mlundikano wa kodi kwenye uagizaji wa gari una mantiki gani?

Mfano gari ina Import Duty, Excise Duty, VAT.

VAT ya nini wakati hatuongezi thamani kwenye lolote lile zaidi ya kutumia gari hapahapa?

Halafu mbona mpaka leo hatujaambiwa hiyo Railway Development Levy wamekusanya kiasi gani?

Kwanini Custom Processing Fee ibadilike kutokana na gari? Kwanini isiwe flat rate?

Naombeni majibu..
 
Back
Top Bottom