Ummy Mwalimu: Huduma za CT scan, MRI na Mammograp kupatikana Benjamin Mkapa hospital

Egnecious

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
875
960
HUDUMA ZA CT SCAN, MRI NA MAMMOGRAPH KUPATIKANA BENJAMIN MkAPA HOSPITAl, DODOMA

Dodoma. 28-02-2017

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto mhe Ummy Mwalimu amewathibitishia wananchi wa kanda ya Kati wakiwemo watumishi wa umma wanaohamia mkoani Dodoma kuwa huduma zote za matibabu ya kibingwa sasa zitapatikana katika Hospitali ya Kisasa ya Benjamin Mkapa iliyopo UDOM - Dodoma.

Mhe Ummy ameyasema hayo leo wakati alipokagua ufungaji wa Vifaa vya kisasa katika Hospitali hiyo ikiwemo CT Scan, MRI, Mammograph na Digital X-ray mashines ambazo zimefungwa katika Hospitali hiyo. Mhe Ummy ameagiza kazi ya ufungaji na majaribio ikamilike haraka ili huduma zote muhimu zitolewe kwa ukamilifu kuanzia tarehe 1 April 2017

Akiongea mbele ya Waziri Ummy, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa Dr Chandika alieleza kuwa kazi ya ufungaji vifaa hivyo imekamilika na kesho tar 1 Machi wataalam wa vifaa wataviwasha kwa majaribio. Pia tayari wameshawaandikia Wataalam wa Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (Tanzania Atomic Energy Commission) kuja kukagua vifaa hivyo ili kujiridhisha endapo ufungaji wa vifaa hivyo umekidhi vigezo vya Tume hiyo.

Hata hivyo, Mkurugenzi alieleza kuwa Changamoto kubwa iliyopo sasa ni Watumishi. Akijibu hoja hiyo, aliahidi kufanya uhamisho wa ndani wa Wataalam kutoka Wizarani ili kuimarisha huduma katika Hospitali hii sambamba na kuendelea kuwasiliana na Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ili kupata watumishi wakutosha kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya watumishi ya Hospitali hiyo.

Hospitali ya Benjamin Mkapa iliyoko UDOM imefungwa vifaa vya uchunguzi vya Tiba vya kisasa ikiwemo MRI ambao ndio ya kisasa zaidi kupatikana eneo la ukanda wa Afrika Mashariki.
Kukamilika kwa Hospitali hii kutakuwa na mchango mkubwa sana kwa wananchi wa Mikoa ya Dodoma, Singida, Tabora, Manyara na Iringa ambao wanalazimika kwenda umbali mrefu kufuata huduma za matibabu ya kibingwa hasa Dar es salaam.
-----
513de53c20788b0879622eae1e45c74c.jpg
 
Huduma za CT Scan, MRI na Mammograph kupatikana Benjamin Mkapa Hospital, Dodoma

Hivi naomba mnisaidie jamani, hivi kanda ya kati inajumuisha mikoa gani? Na kanda ya kaskazini inajumuisha mikoa hipi nayo?

Nauliza haya baada ya kusikia kwamba serikali itakuwa na hospitali ya rufaa kila kanda. Sasa sijuhi, lakini ukisikiliza leo unasikia wanasema pale Singida napo ile hospitali mpya nayo ni ya kanda, ukitoka hapo ukasogea pale haidomu utasikia tena juzi tu Majariwa kaagiza ipandishe hadhi nayo iwe ya rufaa. Sasa hili mie linanitatiza, hizi nguvu zote zikionekana zinajazwa mikoa ya kati kiasi hiki wakati maeneo mengine hata moja iliyopo inasuasua ni kwanini tusijikite kuimarisha huko kunakosuasua kwanza kabla hatujaanza kufikiri kuwaongezea wenye nacho? Mtakaojaaliwa majawabu ntawaomba mnisaidie katika hili, nimekwama

Lakini pia kijiografia, naamini Arusha ni karibu kwa mtu wa Manyara kuliko kwenda dar ama Dom na Mbeya ni karibu kwa mtu wa Iringa kuliko kwenda dar. Sasa kwanini zisiimalishwe za Arusha, Dodoma na Mbeya badala yake tunaanza kujaza majengo mengi tu yasiyokuja na viwango vya kuitwa hospitali za rufaa. Mfano, kuna hospitali moja ya kanda juzi nilienda lakini nilishangazwa kusikia eti hiyo hospitali ya kanda(rufaa) haina hata dakt. bingwa mmoja. Haya ni maajabu ya Tz.
 
Pia tayari wameshawaandikia Wataalam wa Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (Tanzania Atomic Energy Commission) kuja kukagua vifaa hivyo ili kujiridhisha endapo ufungaji wa vifaa hivyo umekidhi vigezo vya Tume hiyo.

Si wangeshirikishwa katika kuvifunga ili kama kuna makosa wasahihishe badala ya funga fungua rekebisha funga tena
 
mimi ninavyofahamu vifaa vyote hivyo vilikuwepo hapo BMH UDOM kipindi cha kikwete.(mic you jk) bt kilichofanyika ni siasa ya kuviondoa hivyo vifaa na kuvipeleka muhimbili kipindi fulani ili kumfurahisha NGOSHA kipindi kileeeeeeee.......
 
havipatikani ocean road, havipatikani muhimbili ila tuamini vitapatikana dodoma....ubashite huu.
 
HUDUMA ZA CT SCAN, MRI NA MAMMOGRAPH KUPATIKANA BENJAMIN MkAPA HOSPITAl, DODOMA

Dodoma. 28-02-2017

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto mhe Ummy Mwalimu amewathibitishia wananchi wa kanda ya Kati wakiwemo watumishi wa umma wanaohamia mkoani Dodoma kuwa huduma zote za matibabu ya kibingwa sasa zitapatikana katika Hospitali ya Kisasa ya Benjamin Mkapa iliyopo UDOM - Dodoma.

Mhe Ummy ameyasema hayo leo wakati alipokagua ufungaji wa Vifaa vya kisasa katika Hospitali hiyo ikiwemo CT Scan, MRI, Mammograph na Digital X-ray mashines ambazo zimefungwa katika Hospitali hiyo. Mhe Ummy ameagiza kazi ya ufungaji na majaribio ikamilike haraka ili huduma zote muhimu zitolewe kwa ukamilifu kuanzia tarehe 1 April 2017

Akiongea mbele ya Waziri Ummy, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa Dr Chandika alieleza kuwa kazi ya ufungaji vifaa hivyo imekamilika na kesho tar 1 Machi wataalam wa vifaa wataviwasha kwa majaribio. Pia tayari wameshawaandikia Wataalam wa Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (Tanzania Atomic Energy Commission) kuja kukagua vifaa hivyo ili kujiridhisha endapo ufungaji wa vifaa hivyo umekidhi vigezo vya Tume hiyo.

Hata hivyo, Mkurugenzi alieleza kuwa Changamoto kubwa iliyopo sasa ni Watumishi. Akijibu hoja hiyo, aliahidi kufanya uhamisho wa ndani wa Wataalam kutoka Wizarani ili kuimarisha huduma katika Hospitali hii sambamba na kuendelea kuwasiliana na Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ili kupata watumishi wakutosha kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya watumishi ya Hospitali hiyo.

Hospitali ya Benjamin Mkapa iliyoko UDOM imefungwa vifaa vya uchunguzi vya Tiba vya kisasa ikiwemo MRI ambao ndio ya kisasa zaidi kupatikana eneo la ukanda wa Afrika Mashariki.
Kukamilika kwa Hospitali hii kutakuwa na mchango mkubwa sana kwa wananchi wa Mikoa ya Dodoma, Singida, Tabora, Manyara na Iringa ambao wanalazimika kwenda umbali mrefu kufuata huduma za matibabu ya kibingwa hasa Dar es salaam.
-----
513de53c20788b0879622eae1e45c74c.jpg

Pamoja na kupelekewa huduma kwao, utashangaa wagogo bado watapakiana kwenye malori na boda boda kwenda kulala madarajani Dar na kufanya mapenzi kwenye vituo vya mwendokasi. Yaani lile kabila, sijapata ona hapa Afrika. Poleni nyie mlio oa na kuolewa huko.
 
tupe hongera na tunao ishi huku mkuu tunaji nunulia mashamba yenye rutuba na visima mswahili kwa bei cheeeee!
 
Na bado mnalala madarajani mkija Dar na kuomba mitaani. Kwa kweli mnamyima raha kaka yenu kipenzi Le Mutuz...hivi tatizo lenu ni nini haswa, ujinga au ushamba?
 
Mungu Ambariki huyu dada / mama

Bado nauliza wandugu, Ummy Mwalimu ameolewa?
 
Na bado mnalala madarajani mkija Dar na kuomba mitaani. Kwa kweli mnamyima raha kaka yenu kipenzi Le Mutuz...hivi tatizo lenu ni nini haswa, ujinga au ushamba?
jamaa sisi ni wahamiaji ambao tunampunguzia karaha huyo kaka wa.wenyewe angalao kwa kuwa elimisha ndugu zake athari ya kuwa beggers ilhali wana ardhi nzuri na mifugo.Kama aibu anajitia mwenyewe kwa kutowajibika kwake kuwapa elimu ya kujitegemea jamii yake ambayo hata haihitaji mabilioni bali ni maarifa tu mkuu!
 
Back
Top Bottom