Sina hata pesa ila kuna kitu ntakifanya niushangaze ulimwengu

Chonde chonde usijivishe bomu kisha ukazuka kwenye kadamnasi. Hatutaki kabisa mabalaa kama haya nchini kwetu.

Kusema ukweli sina pesa ila kichwa kinawaka moto moyo ananiambia natakiwa nifanye kitu ambacho Kitaushangaza ulimwengu hasa Tanzania
 
Watu wa usalama nashauri msimpuuze huyu Lunatic...kama ni askari kweli na anataka kushangaza ulimwengu esp tanzania...basi msichukulie haya maneno lightly..nashauri afuatiliwe na achunguzwe mienendo yake na wala asipangwe kwenye gwaride muhimu...ni hayo tu
 
unaumwa ww kwa iyo ujui newton halifanya nini,jamaa wa Facebook,ww unawaza ugaidi tu
 
Back
Top Bottom