Bahimba
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 510
- 346
Habari wakuu,
Kutokana na kile kilichotokea DODOMA, dhidi ya baadhi ya makada wa Chama tawala kuvuliwa uanachama, wanachama wa Chama hicho wamepinga vikali kuvuliwa uanachama kwa Mwenyekiti wao ndugu Kwilasa.
Wanachama hao wamefika mbali zaidi kwa kusema kua wako tayari uchaguzi ujao JIMBO la Shinyanga mjini kulipeleka upinzani maana wamechoshwa na hali ya kua wanachaguliwa Viongozi ambao wao hawawahitaji.
Hali hiyo imetokana na uchaguzi wa mwaka 2010, kupitishiwa jina la mbunge ambae wao hawakumtaka, na kukatwa kwa jina walilolipendekeza wao, hivo wamemtaka mwenyekiti wa CCM taifa kutengua maamuzi yake haraka vinginevyo jimbo la Shinyanga mjini wanalikabidhi upinzani uchaguzi ujao.