Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,943
- 18,665
Hawa ndyo serkali inabidi ile nao sahan moja.
Hii inasababishwa na kuchukia form four failure kama wakna bashite. Wanaenda kozi miezi 6 wakirudi wanavaa gwanda. Lazma wafail tu. Kma walikaa Sekondari miaka 4 wakaambulia bashite iyo miezi 6 haitoshi kuwafundisha vizuri.Nidhamu ni kitu kizuri sana na hata huyo dada anakaa kama yupo corner bar !!!!!
Naongea kwa uchungu sana jeshi ni kitu ambacho kinatakiwa umakini kuanzia kwenye muonekano hadi katika kazi, muda mwingine matukio Yale ya kuvamia vituo vya polisi yanatokea sababu kubwa ikiwa ni kujisahau sasa kama huyu nini hiki, unakaa unaacha miguu namna hiyo kweli !!!!!!!!
Ila nasikia wanaoenda huko.........
Ujinga huo hana lolote huyo dada naomba nimwite dada kwa kukaa mapozi ya ajabu huku akiwa kwenye vazi ambalo linabeba majukumu mazito kuliko hicho alichotaka kuonesha watu.Hii inasababishwa na kuchukia form four failure kama wakna bashite. Wanaenda kozi miezi 6 wakirudi wanavaa gwanda. Lazma wafail tu. Kma walikaa Sekondari miaka 4 wakaambulia bashite iyo miezi 6 haitoshi kuwafundisha vizuri.
Tatizo sio asikar kupiga picha katoka ilo pozi. Tatizo ni uyo aliyepost. Page yake inahusu malaya wa sinza. Sasa kapost sagent katika pozi. Sasa je na magwanda yanahusishwaje na malya wa sinza?Maandishi hayahusiani na picha....sio halisi bali yamepachikwa.Picha ni asante google ipo kitambo ila uyo aliyepost insta katia maneno kwa maslahi yake binafsi.
sasa huyo atamkamata nani?
Hivi inamaana haonekani au , mbona napata uchungu hivi jeshi linadhalilishwa na mtu mmoja , jeshi lililoundwa na watu wenye akili kwamanufaa ya nchi na usalama wa raia, leo hii mtu mmoja analidhalilisha jeshi langu namna hii,
Bahati mbaya siku pata nafasi kuwa mjeda hakika ninge deal na watu kama hawa wakati wote
jeshi langu sipendi mtu mmoja alichafue kwa mambo yake yaki puuziPole sana.
Unapata uchungu kama yule viti maalumu wa CCM?