Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,098
Habarini za majukumu?
Kuna mtu analo jina alilokuwa akitumia shuleni lakini baadae alipobatizwa alipewa jina lingine na ndilo linalojulikana mtaani na yeye ndo analolipenda.
Sasa katika vitambulisho vya uraia atumie jina lipi?
Alafu lile jina la shuleni alipewa kimakosa, yeye ni Mkristo na familia yao yote yaani mpaka baba mzazi ila upande wa mama ndo waislam na alipewa jina la Shabani toka udogo wake na ndilo alitumia shuleni lakini sasa ni mtu mzima na ni mwamini Mungu mzuri tu na amebatizwa kwa jina la Anthony.
Sasa kama anavyotaka kwenda kusomea uchungaji, je ataitwa mchungaji nani? Shabani au Anthony?
Ebu msaada wa haraka
Mungu awabariki