Lorry linaungua moto barabara ya Uhuru Buguruni Rozana

Good People

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
945
1,819
Gari lenye tenki la mafuta lawaka moto hapa Buguruni Dar es Salaam muda huu

c475a80eee8d41c93754aa24bd0a28c0.jpg
c4e31e78e80fe843df79628993b3e7c7.jpg



Nilichojifunza
-Uchawi Upo Kichwa cha Lori Kimeungua Zaidi ya Dakika 45 bila Moto kufika kwenye tenk mbili za Mafuta.

-Watanzania wengi sana wanamiliki Simu Janja (Smartphones)

-Watu hawako interested na Kuokoa wako busy sana kupiga picha tuu
 
Ki Ukweli Nimekuepo Taangu Moto Unaanza Fire sijui Wako wapi? kadhia Imesababisha Msongamano
 
Ki Ukweli Nimekuepo Taangu Moto Unaanza Fire sijui Wako wapi? kadhia Imesababisha Msongamano

Majuzi hawa fire walipowahi kulizima Lori la mafuta pale Tegeta walijinadi na kujisifia sana jinsi walivyouwahi ule moto kabla ya kuleta madhara sasa kabla hata hakuja kuchwa wanarudia tabia yao ya uzembe...
Lol kweli jasiri ahachi asili yake
 
Ha ha leo nimekutana na askari wawili wa fire wanakusanya pesa zao za fire extinguisher
 
Yaan ofisi za fire zipo hapo tazara wameshindwa fika sehemu ya tukio au sababu ya foleni
 
Back
Top Bottom