Hivi ni vyombo vya habari vinavyoripoti bila uoga wala upendeleo

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850
Ukweli utabaki kuwa ukweli tu, na leo nawaeleza ukweli kuhusu tasinia ya habari Tanzania. Tunayo magazeti utitiri na TV/Radio ila katika vyombo vilivyobaki stebo na kubalansi habari bila uonga ni kama ifuatavyo;

Tv;
Azam Tv tu.

Magazeti;
Tanzania daima
Mtanzania
Mwananchi

Blogs;
JF tu.

Hongereni kwa weledi!
 
sawa ni maoni yako..

mimi..

Magazeti- MWANANCHI, NIPASHE,JAMBOLEO na gazeti baya kuliko yote Kazi ni kujipendekeza, kuzushia upinzani uongo ni TAZAMA.

vituo vya Tv- Azam, ITV, TV-1,Channel 10, star tv (baada ya kampeni kuisha) vituo vya kujipendekeza hasa kwa mabashite ni clouds,na TBC

blog- Mpekuzi,JF.

Radio- EFM, Radio one
 
Siku hizi saa mbili natazama Azam two news....wapo vizuri mnooo
 
Ukweli utabaki kuwa ukweli tu,Na leo nawaeleza ukweli kuhusu tasinia ya habari tanzania.
Tunayo magazeti utitiri na tv/Radio ila katika vyombo vilivyobaki stebo na kubalansi habari bila uonga ni kama ifuatavyo.
Tv!
Azam tv tu.
Magazeti!
Tanzania daima
Mtanzania
Mwananchi
Hongereni kwa weledi!
Blogs!
JF tu.
Nani kakwambia JF ni Blog? acha kufananisha JF na mambo ya Kijinga. JF ni Forums
 
Uoga ni Hisia za mlaji wa habari wewe utaona hivi na mwingine ataona tofauti na wewe
 
Da
Ukweli utabaki kuwa ukweli tu,Na leo nawaeleza ukweli kuhusu tasinia ya habari tanzania.
Tunayo magazeti utitiri na tv/Radio ila katika vyombo vilivyobaki stebo na kubalansi habari bila uonga ni kama ifuatavyo.
Tv!
Azam tv tu.
Magazeti!
Tanzania daima
Mtanzania
Mwananchi
Hongereni kwa weledi!
Blogs!
JF tu.
Hata ITV nao wamo, ila hata Azam wakati mwingine sina uhakika nao, maana kuna wakati wanarusha live mambo ya upande mmoja tu
 
Natumain radio na TV na magazeti ya ccm ndio vyombo vya habari vibovu zaidi Jana ,Leo na kesho.ni taswira halisi ya chama kilivyo.na vitaendelea kuwa vya ovyo kwan kujipendekeza na ubunifu/ukweli haviendani.polen
 
Mwanahabari Huru na Tumaini Makene huwa hawataki utani linapokuja suala linalogusa maslahi ya Mbowe
 
Ukweli utabaki kuwa ukweli tu, na leo nawaeleza ukweli kuhusu tasinia ya habari Tanzania. Tunayo magazeti utitiri na TV/Radio ila katika vyombo vilivyobaki stebo na kubalansi habari bila uonga ni kama ifuatavyo;

Tv;
Azam Tv tu.

Magazeti;
Tanzania daima
Mtanzania
Mwananchi

Blogs;
JF tu.

Hongereni kwa weledi!
Mwananchi kama limepoa hivi? Halafu jf ni blog kwani?
 
sawa ni maoni yako..

mimi..

Magazeti- MWANANCHI, NIPASHE,JAMBOLEO na gazeti baya kuliko yote Kazi ni kujipendekeza, kuzushia upinzani uongo ni TAZAMA.

vituo vya Tv- Azam, ITV, TV-1,Channel 10, star tv (baada ya kampeni kuisha) vituo vya kujipendekeza hasa kwa mabashite ni clouds,na TBC

blog- Mpekuzi,JF.

Radio- EFM, Radio one
Aisee hapo kwenye TAZAMA nakuunga mkono, 100% hivi kuna watu kweli wananunua lile gazeti?
 
Jamani hivi huyu Sam Mahela wa ITV mnamuonaje? Kama kajitoa ufahamu hivi. Kipindi cha Dakika 45 kafanya yeye ndo muuliza na mjibu maswali. Amakweli ameharibu taswira ya ITV. Hata habari nikimuona tu mm nabadili Chanel. Kazi wanayo kwa huyu kijana. Nawatakia usiku mwema
 
Ni upuuzi wa bavicha wengi kuwa ukiandika na kutangaza habari nzuri za upinzani uko fair ila ukitangaza habari nzuri za sisiemu hauko fair, ni mateja tu hufikiria ktk mkondo huu.
 
Back
Top Bottom