Kwa Jambo hili Polisi Tz hamjatenda haki

Jum Records

JF-Expert Member
Jun 30, 2014
547
551
Muigizaji maarufu nchini Tanzania ameandika katika ukurasa wake wa istagram kwa uchungu sana kuhusu ajali iliyotokea Juzi maeneo ya Masaki.... kwamba ajali imetokea Polisi wakawa wamekaa tu wako karibu na eneo la ajali lakini hawajatoa msaada wowote hata kumpelela ngonjwa hospital wamekataa lakini walikua na gari hapo jirani....inauma sana kama tumefikia hatua hii...Jeshi la Polisi kwa hili muombe radhi...
8846855f0cd14f018aec4e319a52c7d6.jpg
 
Back
Top Bottom