Bahimba
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 510
- 346
Wadau kwanza tujipe pole na mikikimikiki ya hapa na pale katika kipindi kizima cha weekend hasa iliyotokea huko Dodoma, nimesema pole na sio hongera kwa sababu naamini yalotokea Dodoma wengi wenu imewaumiza kwa namna moja au nyingine kwa sababu ni mambo ambayo hayajazoeleka kwa wana CCM
Sasa naomba nije kwenye hoja sasa, nimekua nikisikia tangazo la bank ya NMB kupitia clouds, na tangazo hilo lina husisha sauti ya Mh Rais JPM, sasa kwa wataalamu wa mambo naomba mnisaidie, hii imekaaje Rais anaipromote bank flani tena kwa msisitizo kabisa akiwaomba wananchi kutumia bank ya NMB na si bank nyingine, hii ina impact gani kwa bank nyingine zilizopo nchini, nawasilisha.