Kisheria hairuhusiwi kuishi gheto moja watu wawili wa jinsia moja?

Noe kidumage

Member
Aug 25, 2016
84
25
Niaje wana JF??

m n mpangaji mkongwe sana kwenye nyumba 1 hapa mjini. Sasa cjakua mtaalamu Wa Sheria ya mapango. Kiukweli chumba kimoja tunakaa wanaume wa2. Hii n kutokana na hali ya uchumi ndo inayopelekea kukaa wa2 ili kupunguza gharama. Sasa mbali na HVO mama mwenye nyumba ananitaka nikae pekeang na anadai chumba kmoja s ruhusa kukaa wanaume wa2. Et anaogopa polis ck wakiamua kupekua na wakaona guy 2 ndani ghetto 1 watahs ss n wez!! Shelia ya pango ikoje hasa kwenye hili?!?????

Mm m MTU Wa watu. (Naongea na kila MTU) sasa hapa nyumban huwa natembelewa na wat weng hususan wanawake. (Ntazngmzia girls sabab ndo ntawalenga hapa) hasa mwenye nyumba hapend mm kutembelewa na marafk Wa kike. Anaamini nikiwa na mschana ndani bas n mwendo Wa kwich kwich. Anaongea sana ad unataka kwenda kwa baloz. Anadai nmegeuza nyumba yake kma gesti!!
Nipen ushaur nami nmrudishie kamba gan huyu mwenye nyumba.

ama tu apo atakupaje masharti yakukomoana wakati unalipa kodi kama kaongeza chumba pembeni jua kuwa anatafuta mpangaji ili mmoja aamie umo
 
Niaje wana JF??

m n mpangaji mkongwe sana kwenye nyumba 1 hapa mjini. Sasa cjakua mtaalamu Wa Sheria ya mapango. Kiukweli chumba kimoja tunakaa wanaume wa2. Hii n kutokana na hali ya uchumi ndo inayopelekea kukaa wa2 ili kupunguza gharama. Sasa mbali na HVO mama mwenye nyumba ananitaka nikae pekeang na anadai chumba kmoja s ruhusa kukaa wanaume wa2. Et anaogopa polis ck wakiamua kupekua na wakaona guy 2 ndani ghetto 1 watahs ss n wez!! Shelia ya pango ikoje hasa kwenye hili?!?????

Mm m MTU Wa watu. (Naongea na kila MTU) sasa hapa nyumban huwa natembelewa na wat weng hususan wanawake. (Ntazngmzia girls sabab ndo ntawalenga hapa) hasa mwenye nyumba hapend mm kutembelewa na marafk Wa kike. Anaamini nikiwa na mschana ndani bas n mwendo Wa kwich kwich. Anaongea sana ad unataka kwenda kwa baloz. Anadai nmegeuza nyumba yake kma gesti!!
Nipen ushaur nami nmrudishie kamba gan huyu mwenye nyumba.

(Kiaheria )kwenye mabano rekebisha
 
Ongea nae vizuri huyo Mama Kuna anachokitaka.

Hayo masharti ndo siyatakagi......si unalipa kodi au unakaa bure
Tafuta nyumba zingine au umezindika apo utapangiwaje mgeni bwanaa!!
 
Back
Top Bottom