Hashim bin Faustin
Senior Member
- Jan 30, 2017
- 177
- 216
Mh.Rais, Kabla ya hao wasanii tunaomba uanze na sisi wakulima plse, elewa sisi ndiyo tupo wengi na 2020 utatuhitaji saaana.... !! Elewa Hatuna Pembejeo ! Mbegu, Mbolea , Nguvu Kazi duni, Elimu duni, mikopo ya kilimo hakuna, miundo mbinu ya umwagiliaji duni ni shidaaaa tupu , elewa mvua yenyewe ya kuunga unga. Ukinipigia simu nitakueleza zaidi. Tunataka kulima lakini shida tupu huku kijijini. Tu taabani baba saidia na huku.