KingKacha
Senior Member
- Jun 15, 2016
- 118
- 119
1. Hakuna uhamisho (mwalimu)
2. Hakuna increment (mwalimu)
3. Makato aslimia 15% (mwalimu)
4. Hakuna malipo ya nauli za likizo (mwalimu)
5. Hakuna Uhuru wa kutosha kazini, ni hofu tu (mwalimu)
6. Hakuna ajira mpya (mwalimu)
7. Hakuna malipo ya madeni na malimbikizo (mwalimu)
8. Hakuna kupanda madaraja (mwalimu)
9. Malipo ya posho za kusahihisha nayo yamekuwa tete ,hasa kidato cha pili ( mwalimu)
10. Mazingira magumu ya kazi , hakuna nyumba za kuishi, hakuna allowance yoyote ( mwalimu)
Mnayo nia tena ya kuendeleza elimu ya taifa hili??
Je? Haya ndiyo mliyoahidi?
Je? Dhamira yenu ni nini?
Je? Hayo ndiyo malipo ya heshima yetu kwenu?
Au hatuna uelekeo?
Hakika tutawahukumu, kama siyo sisi kazi hiyo atamaliza Mwenyezi Mungu... Hakika nawaambieni.