Jamani wenzangu mmeshakutana hili swala kwenye bidhaa za asilia?

bomouwa

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
1,149
798
Habari wanajamvi?
Nimekuwa nikiona bidhaa mbalimbali za asili kama Asali mbichi, mayai ya kwale, mafuta ya ubuyu n.k yakiuzwa kwa gharama za juu mnoo ukilinganisha na processed goods.

Naomba kujuzwa, kwanini bidhaa za asilia hasa kipindi hiki ambacho demand yake ni kubwa zimekuwa na gharama kubwa?
 
Habari wanajamvi?
Nimekua nikiona bidhaa mbalimbali za asili kama Asali mbichi,mayai ya kwale,mafuta ya ubuyu n.k yakiuzwa kwa gharama za juu mnoo ukilinganisha na processed goods ambazo zinaweza kilujustify privece.
Naomba kujuzwa,kwanini bidhaa za asilia hasa kipindi hiki ambacho demand yake ni kubwa zimekua na gharama kubwa?
Jibu ni hili na umelitoa mwenyewe

" bidhaa za asilia hasa kipindi hiki ambacho DEMAND yake ni KUBWA zimekua na gharama kubwa"
 
Sasa nani ang`atwe na nyuki akuuzie wewe lita moja ya asali buku? Umewai kupanda juu ya mbuyu ww? Kila mtu asaminishe chake.
 
Back
Top Bottom