Paul Makonda, Mungu unayemuomba ni yupi mbona umeshindwa kuomba msamaha?

Niccolo Machiavelli

JF-Expert Member
Feb 7, 2017
1,881
3,644
Hivi kweli mtu unaemtaja Mungu kila hotuba yako. Unaweza vamia kituo cha televisheni, on top of that unashindwa kuomba msamaha.

Aisee huyu jamaa sijui huyo Mungu anaemtaja anamwangalia kwa jicho gani saa hivi.
 
Mtu anayekiri kosa ni yule anayeomba msamaha japo si lazima
 
Yeye naye si nasikia ni akisimama yeye basi Mungu anakuwepo. Nadhani anapiga nae story kila siku labda hata mbinguni anafikaga na kurudi
 
e079bdbfaf73230076de82b9fc40f8aa.jpg
 
Huyo hata haeleweki Leo msikitini kesho kanisa la kkkt kesho kutwa kwa Gwajima alhamis kwa mganga wa kienyeji! Sasa hapo anyenyekee kwa mungu yupi?
 
Toka nione taarifa zile za kuchakachua kadi za magari ya watu na kufoji vyeti huyu kijana kanifanya nakosa imani na walokole huku kitaa maana ukimsikiliza anavyoongea na kumtaja Mungu unaweza sema ni mwema kumbe ni kibaka.
 
Back
Top Bottom