Tunakula sikukuu bila maji baadhi ya maeneo ya jimbo la mbunge aliye ndani (Lema)

SAUTI YAKO

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
2,944
2,030
Ni huku kwetu ambako mbunge wetu anakula sikukuu akiwa ndani.
Tunaomba mamlaka inayohusika iturejeshee huduma hii muhimu
 
Mtakosa na vingine sababu ya watu kutojua waliowachagua wanataka nini??
 
A town sasa ni siku ya nne SAKINA JUU NA CHINI KALOLENI YOTE SANAWARI YOTE MITAA YA MIANZINI YOTE HAKUNA MAJI.

SWISSME
 
sasa hivi hapa nilipo mitaa ya mashele hadi mitaa ya kaloleni wamama wanalia kweli na hii shida haikuwepo kabisa baada ya Mh Lema kuburuzana na yule mpaka lipstiki mdomoni maji na yenyewe yanipelekwa kisongo magereza au tu FITNA amri kutoka juu au ni dharau tumechanganyikiwa hapa Geneva of A town.

swissme
 
Acheni unafiki, ukosefu wa maji haihusiani na lema kuwa sero. Ila moyo wangu unafarijika sana kuona mh anasote kama fundisho
 
Chuo cha Ufundi Technical wameanza kupata baraka ya maji waliyokosa kwa miezi mitatu. Baraka hii ni baada ya Mkuu wa Mkoa Mhe. Mrisho Gambo kuanza kufuatilia kwa karibu ufisadi wa Mkuu wa Chuo hicho Dkt Richard Masika. Hali hiyo imemfanya Dkt Masika kuogopa na kufungulia maji ili wafanyakazi na wanajumuiya yote ya Chuo wapate maji.

Wafanyakazi wanamwomba Mkuu wa Mkoa awasaidie kufuatilia ziliko fedha za matengenezo ya nyumba, zinazokatwa kutoka kwenye mishahara ya wafanyakazi wanaoishi kwenye nyumba hizo za chuo.
 
Siku God atakapombless Lema mambo yatakaa sawa vuteni subira
Mkuu Mungu ameshafanikisha kiongozi wetu yuko uraini ,lakini siku hizi huduma hii ya maji hailewek huku uraiani kwetu Mara wayakate siku 3/4 sijui tatizo liko wapi
 
Siku God atakapombless Lema mambo yatakaa sawa vuteni subira
Mkuu Mungu ameshafanikisha kiongozi wetu yuko uraini ,lakini siku hizi huduma hii ya maji hailewek huku uraiani kwetu Mara wayakate siku 3/4 sijui tatizo liko wapi
 
sasa hivi hapa nilipo mitaa ya mashele hadi mitaa ya kaloleni wamama wanalia kweli na hii shida haikuwepo kabisa baada ya Mh Lema kuburuzana na yule mpaka lipstiki mdomoni maji na yenyewe yanipelekwa kisongo magereza au tu FITNA amri kutoka juu au ni dharau tumechanganyikiwa hapa Geneva of A town.

swissme
Mkuu hili tatizo sijui linatokana na nini hadi sasa maji sio ya uhakika kihivyo
 
Back
Top Bottom