Hujuma: TBC kukata sauti kwa masaa kadhaa pasipo jitihada za kuirudisha kufanyika

ChamaDola

JF-Expert Member
Dec 23, 2016
3,431
2,804
Mimi ni mtumiaji wa king'amuzi cha Azam tv. Na kuanzia mida ya mchana mpaka sasa sauti imekata. Kilichoniuma zaidi ni kushindwa kuisikiliza habari ya Makonda, ambayo karibu televisheni zote zimeizira.

TBC kunani?
Nani anawahujumu?
Ni UKAWA?
Au Mange?
Nani?

Nimekwazika mno!
 
Jabman mie siyo fan wa TBC!
ITV,AZAM na CLOUDS ndio zangu!
Ila imenibidi kuitizama leo hili nione hio habari!
 
N
Mimi ni Mtumiaji wa King'amuzi cha Azam Tv!
Na Kuanzia Mida ya Mchana Mpaka Sasa Sauti Imekata!
Kilichoniuma Zaidi ni Kushindwa Kuisikiliza Habari ya Makonda,ambayo Karibu Televisheni Zote Zimeizira!
TBC Kunani?
Nani Anawahujumu?
Ni UKAWA?
Au Mange?
Nani?
Nimekwazika Mno!

Ni Chama Cha Majangili ndiyo kwa kinahujumu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom