Veta wajichunguze kwa hili..

mr.kayembele

Senior Member
Nov 9, 2012
119
58
Hivi karibuni serikali imetangaza kuingia ubia Na vyuo maalufu Tanzania Na Africa mashariki kwa ujumla. Vyuo hivyo ni vile vinavyomilikiwa Na kanisa Catholic ,vyuo hivyo ni Don bosco vilivyopo mikoa ya Iringa ,Dar, shinyanga,morogoro Na Dodoma. Kwa kweli huu mpango wa kuwapa elimu ya ufundi vijana wa Kitanzania bure ni jambo la msingi sana. Kwa hili serikali inapaswa kupongezwa , program hii itaongeza ufanisi viwandani Na kuongea idadai ya watu watakaojiajir.


Hoja yangu ni kwann serikali iingie ubia Na don bosco Na sio veta.ukizingatia veta ni wakongwe Na inamilikiwa Na government.
Au veta hawajitoshelezi kwa vitendea kazi Na walimu?

Au ni mpango wa serikali kuwa karibu Na wawekezaji wa ndani
Asanteni
 
Back
Top Bottom