unanitaka
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 2,178
- 1,045
Katika ukurasa wake wa instagram msanii diamond ameweka picha yake akiwa na viongozi mbalimbali akiwemo Rais wa nchi, Kinana na Paul Makonda. Lakini asilimia 90 ya wanaocomment katika picha hiyo ni wanaomdhihaki Paul Makonda. DIAMOND kuendelea kuiweka picha hiyo ni dhihaka kwa Pm? Au anafikisha ujumbe kupitia mashabiki. Au ni support yake kwa viongozi hao wakuu wapiganaji wa maendeleo.