NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,951
Habari zenu wakuu natumai kumekucha salama.
Jana nikiwa matembezi ya kawaida mida ya jioni nilikuwa nimetanguliwa na wanafunzi wa shule ya sekondari UMONGA iliyopo manispaaa ya Dodoma walikiwa wakisimuliana tukio la kupigwa mwalimu wao na mlezi wa mwanafunzi mwenzao ndani ya eneo la shule kwa kile kinacho daiwa mwanafunzi huyo kuadhibiwa vibaya na mwalimu huyo.
kibaya walimu wenzie walikimbilia ofisini kujificha.
KAMA NI KWELI NINA LAANI KITENDO HICHO.WAALIMU MSIKAE KIMYA TUKIO HILO SI LA KWANZA KWA SHULE HIYO