BUKOBA: Afungwa miaka 30 Jela na viboko 12 kwa kubaka mwanafunzi

Zurie

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
2,002
5,534
Mahakama ya Hakimu Mkazi Bukoba, imemhukumu bwana Rogers Mushumbusi maarufu kwa Jina la 'Kifimbo Cheza' kifungo cha miaka 30 Jela na Viboko 12 kwa kosa la ubakaji wa Wanafunzi.

Chanzo: Mwananchi
 
Umli wa huyo mwanafunzi kwanza
maana tusitoe Hukumu upande mmoja
wengine wametaka wenyewe na si kubakwa
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Bukoba, imemhukumu bwana Rogers Mushumbusi maarufu kwa Jina la 'Kifimbo Cheza' kifungo cha miaka 30 Jela na Viboko 12 kwa kosa la ubakaji wa Wanafunzi.

Chanzo: Mwananchi

hii sheria kila nikiifikiria nawaogopa wanafunzi japo wanavutia na viuniform vyao.

kifimbo cheza polee kakichezeshe icho kifimbo na huko jela. ukitoka bando la jero litakuwa 12,000
 
Back
Top Bottom