Wapi naweza kupata mkopo wa tsh 10000?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,612
4,713
Ni wapi naweza kupata kupaya mkopo wa tsh 10000, 100000 mpaka 1000,000 kama mkopo wa biashara??? Tofauti na branch kwasababu sina kitambulisho cha mpiga kura
Ni tovuti gani nyingine inayotoa mkopo online?

Ningefurahi ningepata maelekezo ni wapi wanatoa
Na pia nina mpango kabambe wa kuanza biashara ndogo ndogo ya kununua na kuuza vitu na kuanzisha biashara
 
utakua umepewa samaki ni vizuri ukatafuta jinsi ya kupata ndoano na bwawa la kuvua mwenyewe hata dagaa ili maisha yaendelee sidhani kama hiyo ten ndio suruhisho ya tatizo angalia kwa upana jinsi ya kutatua hilo tatizo.
 
inamaa ww hadi unakuja kukopa 10000 jf inamaana watu wako wa karibu hakuna anaye kuamini hata mmoja?
na kama hamna mtu anaye kuamini kwanini uishi hivyo?
 
Back
Top Bottom