TIASSA JF-Expert Member Jun 17, 2014 2,910 3,473 Mar 31, 2017 #1 Wakuu wangu Naomba kuelimishwa ni ndege gani zinazo tua terminal 1 na zipi zinazo tua terminal 02 katika uwanja WA nyerere airport
Wakuu wangu Naomba kuelimishwa ni ndege gani zinazo tua terminal 1 na zipi zinazo tua terminal 02 katika uwanja WA nyerere airport
Zabron Hamis JF-Expert Member Dec 19, 2016 6,838 10,896 Mar 31, 2017 #2 Unataka kununua ndege??? (Just kidding)