Wakazi wa Musoma mjini imewabidi kuchota maji ziwani baada ya mamlaka ya maji safi na maji taka mjini humo (MUWASA) kuwakatia umeme kutokana na malimbikizo ya madeni
Acha waisome mdogomdogo,mambo yatakuwa mazuri kuanzia 2019 to 2020!
Kwa sasa kura zenu hazitakiwi!
Zikihitajika,maji,umeme,madawa na ajira zitakuwa ni za kugusa tu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.