Waziri wa TAMISEMI shughulikia masuala ya uhamisho kwa watumishi wa umma

Nas Mapesa

JF-Expert Member
Jul 31, 2014
5,247
5,315
Salaam zikufikie popote ulipo.

Niende moja kwa moja kwenye point,kupitia wizara yako ulitoa waraka kwa watumishi kuhamishwa(ikama) kwa walimu katika kila halmashauri na ukasisitiza mambo haya yafanyike haraka na kwa ufanisi.

Cha kusikitisha mpka leo hii kuna baadhi ya walimu hawakupewa hata senti ya uhamisho ambayo kwa mujibu wa sheria ni lazima watu hawa walipwe mana ni stahiki zao hii inauma sana,unamtoa mtu mjini wala hakuomba unampeleka kijijini kwa kumuahidi utamlipa then unaacha kumlipa kwa wakati bila sababu za msingi.

Lakini pia baadhi ya halmashauri zimeenda mbali zaidi kwa kufanya zoezi hili kama kukomoana mfano halmashauri ya wilaya ya Korogwe kilichofanyika mh waziri ni dharau sana nenda kashuhudie.

Huko jiji la Tanga nako walimu wanalia ukienda Tabora hali ni hiyo hiyo.

Nikuulize waziri, ulikuwa na sababu gani kutoa waraka kama hukujipanga kifedha? Kwanini usitafute fedha kwanza? Kama ulitoa hizo fedha ulizifuatilia lini kujua matumizi yake Kama ni sahihi?

Tunakuomba aidha wewe au naibu waziri mrudi mkoa wa Tanga muone matatizo waliyonayo watumishi wa umma.

Mkurugenzi wa jiji la Tanga anajitahidi sana ila kuna watu wanamkwamisha sana,wakiongozwa na maafisa utumishi.

Nakala :N/w wizara tamisemi
:Wadau serikali kuu
 
Nasmapesa Upo Kilole, Old Korogwe, Bagamoyo, Kwamsisi, Manundu Au Wapi, Pole Kaka, Serikali Haiwajali Watumishi Mana Kuna Mdau Mwingne Alileta Mada Kuhusu Korogwe Hyohyo !
 
Iringa one mi niko shy town ila kuna mambo ya hovyo yanaendelea lazima tuseme,nd next week ntakua tanga kabla sijafika naomba niwakute watu chumbageni
 
Salaam zikufikie popote ulipo.

Niende moja kwa moja kwenye point,kupitia wizara yako ulitoa waraka kwa watumishi kuhamishwa(ikama) kwa walimu katika kila halmashauri na ukasisitiza mambo haya yafanyike haraka na kwa ufanisi.

Cha kusikitisha mpka leo hii kuna baadhi ya walimu hawakupewa hata senti ya uhamisho ambayo kwa mujibu wa sheria ni lazima watu hawa walipwe mana ni stahiki zao hii inauma sana,unamtoa mtu mjini wala hakuomba unampeleka kijijini kwa kumuahidi utamlipa then unaacha kumlipa kwa wakati bila sababu za msingi.

Lakini pia baadhi ya halmashauri zimeenda mbali zaidi kwa kufanya zoezi hili kama kukomoana mfano halmashauri ya wilaya ya Korogwe kilichofanyika mh waziri ni dharau sana nenda kashuhudie.

Huko jiji la Tanga nako walimu wanalia ukienda Tabora hali ni hiyo hiyo.

Nikuulize waziri, ulikuwa na sababu gani kutoa waraka kama hukujipanga kifedha? Kwanini usitafute fedha kwanza? Kama ulitoa hizo fedha ulizifuatilia lini kujua matumizi yake Kama ni sahihi?

Tunakuomba aidha wewe au naibu waziri mrudi mkoa wa Tanga muone matatizo waliyonayo watumishi wa umma.

Mkurugenzi wa jiji la Tanga anajitahidi sana ila kuna watu wanamkwamisha sana,wakiongozwa na maafisa utumishi.

Nakala :N/w wizara tamisemi
:Wadau serikali kuu
Hii serikali ya awamu hii sijui ina kisiran gani na watumish wake maana stahiki zao zoote zimezuiwa hata zisizo hitaji pesa ya serikali nazo zimezuiwa sijui wana wataka kipi kwa watumishi wao
 
Nasmapesa upo sahihi sanaa, mm npo iringa mjini ila mke yupo korogwe girls na uhamisho wa kubadilishana wamemkatalia wakati hauna gharama kwao, duuuu juni naja tanga watu niwakute TANGA RESORT.
 
Kumbe mkuu upo Korogwe?
Duuh ebana mbona kama nuksi saa maana mi ndo nategemea kuhamia KOROGWE endapo tu watatoa majina,Naomba mwenye ufahamu anijuzee kiundani papoje papoje palee?japo ssitegemei kua na makazi ya kudumu pale...Nmezoea kupapita na bus tu!!
 
Tatizo wanaotakiwa kutatua haya matatizo wana elimu ya kuunga unga sana.

Salaam zikufikie popote ulipo.

Niende moja kwa moja kwenye point,kupitia wizara yako ulitoa waraka kwa watumishi kuhamishwa(ikama) kwa walimu katika kila halmashauri na ukasisitiza mambo haya yafanyike haraka na kwa ufanisi.

Cha kusikitisha mpka leo hii kuna baadhi ya walimu hawakupewa hata senti ya uhamisho ambayo kwa mujibu wa sheria ni lazima watu hawa walipwe mana ni stahiki zao hii inauma sana,unamtoa mtu mjini wala hakuomba unampeleka kijijini kwa kumuahidi utamlipa then unaacha kumlipa kwa wakati bila sababu za msingi.

Lakini pia baadhi ya halmashauri zimeenda mbali zaidi kwa kufanya zoezi hili kama kukomoana mfano halmashauri ya wilaya ya Korogwe kilichofanyika mh waziri ni dharau sana nenda kashuhudie.

Huko jiji la Tanga nako walimu wanalia ukienda Tabora hali ni hiyo hiyo.

Nikuulize waziri, ulikuwa na sababu gani kutoa waraka kama hukujipanga kifedha? Kwanini usitafute fedha kwanza? Kama ulitoa hizo fedha ulizifuatilia lini kujua matumizi yake Kama ni sahihi?

Tunakuomba aidha wewe au naibu waziri mrudi mkoa wa Tanga muone matatizo waliyonayo watumishi wa umma.

Mkurugenzi wa jiji la Tanga anajitahidi sana ila kuna watu wanamkwamisha sana,wakiongozwa na maafisa utumishi.

Nakala :N/w wizara tamisemi
:Wadau serikali kuu
 
Duuh ebana mbona kama nuksi saa maana mi ndo nategemea kuhamia KOROGWE endapo tu watatoa majina,Naomba mwenye ufahamu anijuzee kiundani papoje papoje palee?japo ssitegemei kua na makazi ya kudumu pale...Nmezoea kupapita na bus tu!!
Kwa hali ya hewa ni pazuri pako karibu na Lushoto, upande wa pesa ni juhudi yako.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom