Msaada: Halotel wamenifungia

chiefnyumbanitu

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
906
426
kwa masikitiko makubwa halotel wamenifugia na wakati siku zote na nunua salio 1000 na kuunganisha mb leo nimefungiwa na wameniletea ujumbe huu

Mpendwa mteja! Namba yako imefungiwa kwa muda kutokana na kutotumia huduma za simu kwa siku 90 mfululizo. Tafadhali ongeza salio ili kuendelea kufurahia huduma za Halotel. Asante!

Na nmeongeza salio mchana lakin mpaka sasa hakuna kinachoendelea
 
Kweli kabisa, waliniambia nimeingiza vocha vibaya zaidi ya mara 5, lakini walinifungulia.
 
kwa masikitiko makubwa halotel wamenifugia na wakati siku zote na nunua salio 1000 na kuunganisha mb leo nimefungiwa na wameniletea ujumbe huu

Mpendwa mteja! Namba yako imefungiwa kwa muda kutokana na kutotumia huduma za simu kwa siku 90 mfululizo. Tafadhali ongeza salio ili kuendelea kufurahia huduma za Halotel. Asante!

Na nmeongeza salio mchana lakin mpaka sasa hakuna kinachoendelea
Hayo n mapungufu makubwa saana ya mtandao huo pendwa. Wamewafanyia watu wengi tu
 
Mimi kila nikijaribu kutuma msg inanigomea nimejaribu kila aina ya setting katika Sim card bila mafanikio na nikijaribu kuwapigia hawapatikani
 
Back
Top Bottom