Polisi wapiga risasi 3 juu wakizuia wakazi wa Mwenge kupita barabara ya Mwenge stand

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,806
4,370
Leo Tarehe 4 Mwezi wa nne asubui hii, polisi wa Mwenge wamepiga risasi tatu hewani, wakiwa wanatekeleza amri ya Mkuu wa wilaya ya Kinondoni ya kuzuia magari ya wakazi wa mwenge na wafanyabiashara wasipite na magari yao kwenye Barabara ya Mwenge stand.

Haya nayo, ni maajabu
 
Kuna MTU katoka povu Jana kwa ajili ya post yako. Natumaini Leo atakuja na povu tenam
Any way poleni sana wana mwenge
 
Leo tr 4 mwezi wa nne asubui hii,polis wa mwenge wamepiga risasi tatu hewani,wakiwa wanatekeleza amri ya mkuu wa wilaya ya kinondoni ya kuzuia magari ya wakazi wa mwenge,na wafanyabiashara wasipite,na magari yao,kwenye Barabara ya mwenge stand
Haya nayo,ni maajabu
Kama nilivyosema huo ni Udikteta na ukosefu wa haki za binadamu
 
Leo tr 4 mwezi wa nne asubui hii,polis wa mwenge wamepiga risasi tatu hewani,wakiwa wanatekeleza amri ya mkuu wa wilaya ya kinondoni ya kuzuia magari ya wakazi wa mwenge,na wafanyabiashara wasipite,na magari yao,kwenye Barabara ya mwenge stand
Haya nayo,ni maajabu
Ujinga wa namna hii unakusaidia nini??
 
Wananchi wameigwa magari ya polis yametanda kila mahali
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Leo tr 4 mwezi wa nne asubui hii,polis wa mwenge wamepiga risasi tatu hewani,wakiwa wanatekeleza amri ya mkuu wa wilaya ya kinondoni ya kuzuia magari ya wakazi wa mwenge,na wafanyabiashara wasipite,na magari yao,kwenye Barabara ya mwenge stand
Haya nayo,ni maajabu

Leo umekuja tena na ' Majungu ' yako yale yale kama ya jana na kama kawaida yangu sikuachi. Jamani waacheni Police na Mamlaka itekeleze majukumu yao. Naunga mkono Police kwa ' kufyatua ' hizo risasi na nashauri kama hamsikii na mnakaidi basi basi wafanye tu hata ' demo ' moja wampige mmoja wenu ya ugokoni au kendeni ili mshike mshike adabu kwani Wakazi wa Mwenge mnaonekana ni ' Majeuri ' mno.
 
Wenye akili za kolomije.... Wapo!!! Pambaf
 
mwenye hii nchi ni mwananchi,ww ndo unalipa Kodi nchi istawi na Mambo yaende,huu uonevu ni kiburi na ulevi was hela zetu yaan ni hela zenu zinawatesa,sasa sijui watanzania ni wachawi
 
Back
Top Bottom