Mwaka mmoja wa DC Ally Hapi wilaya ya Kinondoni

Egnecious

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
875
960
"Tumefanikiwa kutoa mafunzo ya Ujasiliamali bure kwa Wananchi 5000 wa Kinondoni"
1491214109563.jpg
 
hongera sana, mkuu wa wilaya.
Vijana wanaweza, wakiaminiwa na kupewa mafunzo zaidi ni msaada mkubwa kwa watanzania wengine
 
yeye anafanya sherehe wapi ya kuadhimisha huo mwaka wa majukumu yake, mateja yeye hajawaalika kwenye hiyo tafrija yake
 
Mbona kakusanya kinamama wa kiswahili tu?vipi Bashite amemluhusu?
 
bashite anafunikwa walahi
Bashite angekwenda kupiga magoti kwa Majay tu kwani station yenye kuweza kuwafunika Clouds kwa Promotion na watu wenye vipaji vya ubunifu zaidi ya Clouds ni E-FM tu
 
Back
Top Bottom