ndyana
Senior Member
- Jul 12, 2015
- 152
- 28
Familia ya Apolinary Gaspar wa Nyamigere kata ya Kalenge wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera, inawatangazia kifo cha mtoto wao Bahati Apolinary kilichotokea jana (03.04.2017). Mazishi yatafanyika leo mchana baada ya ndugu wa marehemu kuwasili.Habari ziwafikie ndugu jamaa na marafiki wa marehemu. Bwana ametoa bwana ametwaa, jina la Bwana lihimidiwe. Amen