Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,233
Inanikumbusha zamani unakuta umefanya kosa kubwa lakini mzazi hana hata shida na wewe hata kutuma dukani anamtuma mtoto wa jirani hata chakula kikiiva huitwi ila unaweza kwenda kupakua mwenyewe mzazi anasubiri kiza kiingie.
Nay wa Mitego analalamika anaona Tanzania ndogo sana kwa sasa hii ni kawaida hasa ukigusa sehemu ambayo inaheshimika.
Nay wa Mitego analalamika anaona Tanzania ndogo sana kwa sasa hii ni kawaida hasa ukigusa sehemu ambayo inaheshimika.