Shigongo Kaibuka kivingine, ashauri jinsi ya kujitawala kiuchumi kipindi cha Magufuli

Jackal

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
9,895
13,454
JINSI YA KUTAWALA UCHUMI KIPINDI
CHA JPM.
-NA Mr Erick J Shigongo

- 1.MANTAIN FOCUS AND HAVE POSITIVE MENTAL ATTITUDE.

-Pamoja na yote yanayotokea usibadilishe mtazamo wako wala ndoto zako. Endelea kuamini ndoto yako itatimia
Hakuna kitakachobadilika Kama ukiendelea kulalamika Na kulalamika
Kubali kweli mambo yamebadilika then jiulize nifanye nini?

- 2.DONT MOVE AGAINST THE DIRECTION OF THE RIVER FLOW.

- Kila uongozi unakuja na namna yake ya kufanya mambo.
Usibishane na utawala
Hakuna mfanyabiashara amewahi kushindana na administration akashinda
Tii sheria, lipa kodi
Fanya kazi kwa nguvu, acha uvivu uvivu
Kwenye kipindi hiki hakikisha unatafuta taarifa sahihi Na unazijaza kichwani
Explore new possibilities
Ili ubongo wako ukuletee majibu unatakiwa uwe na taarifa nyingi sahihi(invest in ur mind by reading books)

- 3.LEARN HOW TO LEAD YOURSELF AND OTHERS.

- Hakuna shida Itadumu milele, hata hiki kipindi kitapita
Come down, motivate and inspire
Nawe jihamasishe ikishindikana Jilazimishe
Maintain ur good character
Kuna wakati huitaji mamilioni unahitaji tabia njema.

-4 .EXPAND YOUR NETWORK.

- Achana na watu wa hovyo hovyo kwenye maisha yako. Pengine alikufaa kipindi cha kikwete ila saiv anaweza asikufae
In this new era connect to right people, connect, ask questions
Wapo watu ukiwaingiza kwenye maisha yako yatabadilika kabisa na Kuna watu ukiendelea kiwashikilia hutafika mbali.

-5.DOWNSIZE YOUR SPENDING.

- Punguza matumizi yako katika kipindi hiki
Bana matumizi kinachobaki wekeza, create multiple sources of income
Matumizi yako yasizidi mapato.

- 6.GIVE GENEROUSLY.

Give to poor
Give to ur church
Give, give, give
Heri kutoa kuliko kupokea
God bless cheerful givers.

- 7.OBEY GOD.
The most principle ktk kipindi hiki cha Magufuli ni kumtii Mungu coz Mungu hawezi kukuacha kama mtoto wake uteseke
Hatufanikiwi sababu tuna akili.,network au sababu tunasoma Sana vitabu Lakini kwa sababu ya neema ya Mungu .

So obey God
Be blessed
 
Najilazimisha kila mara na kila siku kumwelewa Shigongo lakini inashindikana pengine labda kwakuwa damu yangu haipatani na Mtu mwenye vinasaba vya kutukuka vya Unafiki wa hali ya juu.
 
Ukishindwa wewe kumuelewa tutamuelewa sisi.
 
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema hivi: "Taarifa sahihi huwwasilishwa kwa lugha sahihi"
Akiwa na maana hii, ili kufikisha ujumbe au taarifa iliyokusudiwa kwa hadhira iliyokususdiwa basi tumia lugha inayoweza kueleweka kwa hadhira yako yote bila kubagua.
 
Na ukiona Mnafiki anaeleweka na Mtu mwingine basi hapa jua ya kwamba " birds of the same feathers always flock together " nikimaanisha kuwa hata huyo anayemwelewa pia ni Mnafiki mwenzie.
Unafiki wake ni nini kaka hebu nifahamishe maana mi nimependezwa na maneno aliyoandika.
 
Yeye mwenyewe ameshafilisika halafu anajifanya bingwa wa kutoa ushauri!
 
Na ukiona Mnafiki anaeleweka na Mtu mwingine basi hapa jua ya kwamba " birds of the same feathers always flock together " nikimaanisha kuwa hata huyo anayemwelewa pia ni Mnafiki mwenzie.
Kichwa cha nyoka hakibandiki mtungi,
Tunaelewa sana kwanini unampiga majungu ndg Shigongo (kazi yake na yako zafanana),

Kumchukia mwanadamu mwenzako ni kumchukia mungu.
 
Back
Top Bottom