Mto_Ngono
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 686
- 589
Wale watani wangu wa kule Mara wana mila yao moja wanaita nyumba ntovhu. Nyumba ntovhu ni pale mwanamke anamuoa mwanamke mwenzie mara nyingi inakuwa msichana ambaye hajazaa anakuwa mke wake.
Ikitokea muoaji akahitaji mtoto hutafuta mwanaume then atalala na huyo mke ili apate mtoto na huyo mtoto ataitwa kwa jina la huyo mwanamke (kama baba ake). Mila hii inanifurahisha sana japo ni against the order of God na sheria za ndoa Tanzania.
Je wewe mwana JF mwenzangu ni mila gani na desturi zinazokufurahisha au kukusikitisha au kukushangaza hapa Tanzania.