Mhh kweli? Nyaraka na vitambulisho ni sawa, kwani hapo anaweza kudhulika vipi kwa kuvitaja kama hivyo? I need to be educated on this.Hutakiwi kuweka nyaraka za mtu binafsi public bila idhini yake, hivi akikushtaki utasema nini? kwanini usivitume posta kwa anuani ya eneo linaloonekana kwenye kadi ya mpiga kura?
Privacy haipo kwa ajili ya kumlinda mtu asidhulike, sio kila mtu anapenda awe tangazo kisa kitambulisho cha kupigia kura na passport.Mhh kweli? Nyaraka na vitambulisho ni sawa, kwani hapo anaweza kudhulika vipi kwa kuvitaja kama hivyo? I need to be educated on this.
sasa mm nilijiandikisha nikiwa kigoma now nipo arusha huoni vikirudishwa kigoma hakuna atakaenipàtia hivyo vitambulisho vyanguHutakiwi kuweka nyaraka za mtu binafsi public bila idhini yake, hivi akikushtaki utasema nini? kwanini usivitume posta kwa anuani ya eneo linaloonekana kwenye kadi ya mpiga kura?
Kwa fikra kama zenu ndio maana mtu akiokota vitu kama hivyo anaangalia hela na kutupa hata mtaroni.Hutakiwi kuweka nyaraka za mtu binafsi public bila idhini yake, hivi akikushtaki utasema nini? kwanini usivitume posta kwa anuani ya eneo linaloonekana kwenye kadi ya mpiga kura?
Wewe upo stoneage jombaaa..... Sasa ivi kuna facebook, instagram, truecaller na madude mengi ya Hatari ukiweka detail zako Kila mtu anaweza kuziona. Hizi sio zama za kuficha pesa kwenye godoro au kuchimbia chini... Jamaa alivyoziweka ni Sawa nafikiri aujui gharama YA kupoteza hizo ID. Mimi kwenye wallet uwa nimeweka bussnes card/passport ina cont yangu ili hata ikiokotwa nipatikane kwa wepesiPrivacy haipo kwa ajili ya kumlinda mtu asidhulike, sio kila mtu anapenda awe tangazo kisa kitambulisho cha kupigia kura na passport.
Hiyo haiondoi sababu niliyoitoa, kwanini asitumie anuani ya posta kutuma documents hizo? kadi ya mpiga kura inaonesha hadi mtaa anaoishi mtu, hilo hamlielewi, au kwanini asivikabidhi polisi?Wewe upo stoneage jombaaa..... Sasa ivi kuna facebook, instagram, truecaller na madude mengi ya Hatari ukiweka detail zako Kila mtu anaweza kuziona. Hizi sio zama za kuficha pesa kwenye godoro au kuchimbia chini... Jamaa alivyoziweka ni Sawa nafikiri aujui gharama YA kupoteza hizo ID. Mimi kwenye wallet uwa nimeweka bussnes card/passport ina cont yangu ili hata ikiokotwa nipatikane kwa wepesi