FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,873
- 44,926
Tuchukulie wale tulio na unasaba nao wa karibu zaidi kama Sokwe mtu, nyani nk.
Kwa maelezo niliyopewa, roho haionekani wala haifahamiki ipo sehem gani mwiliniHicho kiungo kinachoitwa roho katika mwili wa binadamu au mnyama naomba nijulishwe kinakaa sehemu gani mkuu mleta mada? nikipata jibu naweza changia kuhusu hiyo roho.
Huko Morogoro kuna kijiji kinaitwa Mbingu nadhani ndipo zinapoelekea wanapofarikiTuchukulie wale tulio na unasaba nao wa karibu zaidi kama Sokwe mtu, nyani nk.
Unapimaje kwamba wanayo / hawana dini? Una diniometer?Kama wanazo dini
Death is the state not the processTuchukulie wale tulio na unasaba nao wa karibu zaidi kama Sokwe mtu, nyani nk.
Naamin roho IPO ktk mwil wa mwanadamu ...."Nayo mavumbi kuirudia nchi kama yalivyokuwa nayo ROHO kumrudia MUNGU aliyeitoa.."mhubiri 12:7Kwa jibu lako linaonesha wazi kuwa hakuna kitu kinaitwa roho mwilini hivyo yeyote anaechangia naomba anipe jibu kuhusu roho kama atakuwa nalo bila ya hivyo hakuna ukweli bali ni nadharia tu za watu kuhusu roho
Tuchukulie wale tulio na unasaba nao wa karibu zaidi kama Sokwe mtu, nyani nk.
I am 100% sure hata sokwe mtu anaamini kabisa kwamba binadamu hatuna roho, ile yeye tu ndio anayoMafundisho rasmi ya Kanisa ni kwamba wanyama hawana roho. Binadamu ana roho, na malaika ni roho.
Kwa hivyo, hakuna cha kusema roho ya mnyama inakwenda wapi. Hawana.
I am 100% sure hata sokwe mtu anaamini kabisa kwamba binadamu hatuna roho, ile yeye tu ndio anayo
Seriouslyyyykama miti maji maua hayataenda mbinguni. wanyama ni zawad Mungu ametupa kama mapambo/chakula/dawa. wao mission yao inaishia hapa duniani.
ulishawai kujuiliza mwanachama wa ccm akifa anaenda wapi? mpaka leo sijapata jibu.
Ukisema wanyama hawana roho wanapokufa je nini hutoka mwilini na kuwafanya wasiwe hai tena?Mafundisho rasmi ya Kanisa ni kwamba wanyama hawana roho. Binadamu ana roho, na malaika ni roho.
Kwa hivyo, hakuna cha kusema roho ya mnyama inakwenda wapi. Hawana.
Ukisema wanyama hawana roho wanapokufa je nini hutoka mwilini na kuwafanya wasiwe hai tena?
Kwa mtoa mada: Hakuna roho inayoenda mbinguni iwe ya myama au binadamu. Mhubiri 3.19,20