mandella
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,048
- 3,231
Nimepokea Malalamiko ya baadhi ya watu wakilaani Tabia Mbovu waliyotetendewa wakiwa Safarini, Labda ni Jambo Geni......
Kuna tabia ambayo si Nzuri sana inayofanywa na Hawa jamaa wa Usimamizi Usalama Barabarani.
Wanachokifanya ni Hiki ,wanakua na Zile Tochi zinapiga Picha Speed ya Gari,unapopatikana na Kosa La kuzidisha Mwendo , Basi Picha Ile wanakuonyesha kama kidhibiti Cha kosa Ulilolifanya .
Utakapotembea Kilometer Kadhaa mbele Utakuna na Traffic mwingine akiwa na Picha yenye Kosa la speed limit ,Maajabu ni kwamb Picha hiyo itaonyeshaa excattly speed kama uliyoonyeshwa kwa kosa la Awali na hii inaweza kufanyika Hata Zaidi ya Mara Tatu.
Wanachokifanya Hawa Jamaa , Wanarushiana Picha Kwa Whatspp na Kupeana Taarifa ya ujio wa Gari Fulani..hivyo Picha ile itatumika Kukubana na Hatimae hutachomoka Kulipa Either Ruswa au Faini Kuepuka Mabishano na Usumbufu wa kuchelewa Safarini.
HII TABIA KWAKWELI NI YA KUFUATILIWA NA KUKOMESHWA.