BRAVO 2 ZERO
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 1,174
- 1,196
Mpaka sasa kwa watanzania: umeme,maji huduma za afya, usafiri,elimu na mengineyo ni anasa na huku kodi zinakusanywa everyday mnatuletea story za kutekana yaani sijui tunaenda wapi ipo siku tutachoka hata hayo ma V8 hamtaendesha.